Wanajukwaa kuanzia leo nimeona mabadiliko kwenye Akaunti yangu ya Mpesa upande wa Tozo za kutuma Pesa kwenda Mitandao mingine na kwenye Tozo za lipa kwa Simu Ndo kusema kuwa vodacom wanapuuza Makubaliano waliyoyaweka, Watanzania wanyonge Tunalia na Tozo hizo!
MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo hazijaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la Posta Tanzania zijipange na zihakikishe zinaanza kutoa huduma katika vituo hivyo ndani ya mwaka...
Kwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP.
Miongoni mwa maagizo aliyotoa Rais kwenda kwa IGP ni pamoja na IGP kuhakikisha kuwa anazuia vifo vya mahabusu, kuzuia matumizi ya nguvu kupindukia kwa...
Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan alitoa Homework Juu ya Tozo la Miamala Wewe na Timu yako Mnaohusika mliangalie Upya Suala hili, sio Kufuta bali kupunguza Makali Ya Tozo.
Badala yake Kwa Kudemka Kabisa unakuja na mahesabu ya Mabilioni Yaliyokusanywa, Kwamba Yamepelekwa kusaidia hiki na Kile...
Jaji wa Mahakama kuu ya Kenya Anthony Mrima amefuta maagizo yaliyotolewa na Kamati ya Ushauri ya Usalama wa Kitaifa(NSAC) iliyopiga marufuku mikutano ya umma na ya kisiasa nchini humo katika kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya UVIKO 19.
Jaji Mrima amesema agizo hilo lilikuwa kinyume cha katiba...
IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake.
Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya...
Leo nimeamka asubuhi nikitazamia daladala zote zinazofanya kazi hapa mkoani Dar es Salaam zitakuwa zinapakia level seat na abiria wote wakivaa barakoa, sawasawa na agizo la mkuu wetu wa mkoa.
Ukweli ni kwamba hakuna kilichobadilika mtaani, tofauti sana na ilivyokua kwenye wimbi la mwaka jana...
Alizuia mikusanyiko ili kuwalinda wananchi na covid na amefanikiwa kuzuia mkutano wa Chadema ambao usingezidi watu 200 lakini kaachia mechi la Pamba vs coastal watu walijaa hatari.
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuagiza wenye mabasi kuyaingiza ndani ya kituo cha mabasi cha Magufuli wakati wa kupakia na kushusha abiria, baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusiana na uamuzi huo.
Makalla alitoa agizo hilo jana Ijumaa...
Habari wadau?
Mwenye kujua kwa sasa RIBA mpya za mabenki baada ya tamko la serikali kuiagiza BOT ishushe riba kwa mabenki ili nazo zishushe kwa wakopaji wao, atujuze!
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza miongozo yote iliyotolewa kwa umma kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya CORONA (COVID - 19), izingatiwe.
Mkurugenzi wa Idara ya Kinga wa Wizara hiyo, Dkt. Leonard Subi amesema Tanzania ni salama hata...
Mwanasheria Mkuu wa Nigeria, Jenerali Abubakar Malami ameagiza kufunguliwa mashtaka mara moja kwa watu wote watakaokaidi agizo la serikali la kufungia mtandao wa kijamii wa Twitter.
Mapema jana, makampuni ya simu nchini humo yalisema kuwa yametii agizo la serikali la kufungia mtandao huo wa...
Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao
SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
Tanzania Yakataa Agizo La UNESCO La Kuitaka Kusitisha Ujenzi Wa Mradi Wa Stiegler's Gorge Katika Pori La Akiba La Selous
HAMZA TEMBA - WMU
Tanzania imesisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.