Dkt. Florence Samizi Mbunge wa jimbo la Muhambwe, aunguruma bungeni akichangia Wizara ya Kilimo na akitaka hatua za serikali kwa makampuni yanayodhurumu wakulima fedha za mazao yao.
======
Waziri Bashe ajibu kuwa serikali imeanza kuchukua hatua za kisheria kwa kukatwa fedha kwa baadhi ya...
KUNTI MAJALA AHOJI KWANINI TANGA CEMENT ILAZIMISHWE KUUZWA TWIGA CEMENT
Mhe. Kunti Majala, Mbunge wa Viti Maalum tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishw akwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri...
Mbunge wa Mbeya mjini kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson amesema lengo la kugawanya jimbo la Mbeya mjini ni kusogeza huduma kwa wananchi na mchakato huo sio wa Mbeya pekee. Dkt Tulia aliongea hayo wakati akihojiwa na kituo cha redio cha wasafi leo asubuhi.
Tulia amesema ubunge wake yeye haijalishi...
Mmoja wa watoto wanaohifadhiwa katika mahabusu ya watoto Upanga, jijini Dar es Salaam, amehoji kukaa mahabusu kwa miaka miwili sasa, akisubiri kusikilizwa kwa kesi yake inayomkabili.
Mtoto huyo aliyekuwa mahabusu hapo kwa kukinzana na sheria akikabiliwa mashtaka ya mauaji, alibainisha hayo jana...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe. Dkt. Thea Medard Ntara amehoji “Suala hili lina muda mrefu sana na Watoto wanazidi kunyanyasika kwa kuolewa na umri mdogo, Je, Serikali imejiwekea muda gani wa kufanya mabadiliko ya sheria!?, pia hamuoni haja ya kusitisha maoni ya Wadau kwasababu...
BUPE MWAKANG'ATA - AHOJI UJENZI BARABARA INAYOPITA MBUGA YA WANYAMA KATAVI
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata katika kikao cha bajeti Bungeni kwenye kipindi cha maswali na majibu ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
"Ni...
Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala ameshauri mamlaka zinazosimamia misafara ya viongozi, kuwasiliana ili kupunguza muda wa watu kusimama njiani wakati wakiwasubiri wapite.
Mbunge huyo ameyasema leo Aprili 12,2023 wakati akichangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato...
Mbunge wa Viti Maalum, Grace Tendega amehoji ni kwa nini Serikali iliamua kujiondoa kwenye mpango wa uendeshaji wa Serikali kwa uwazi wakati silaha kubwa ya kupambana na rushwa ni uwazi.
Tendega amehoji leo Jumatano Novemba 8, 2022 wakati akiuliza la msingi bungeni.
Akijibu swali hilo, Naibu...
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Spunda amesema kwenye simu zimejaa tozo na kwenye mafuta ni tozo tupu zinazofikia nane kwenye kila lita ya mafuta. Rungwe amehoji sababu ya kuwa na tozo zote hizo akiwa kwenye kipindi cha medani za siasa kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Stra TV...
Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa ikiingia mikataba mingi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kwa bahati mbaya sana mikataba hii hutuzwa kwa siri kubwa, wabunge na wananchi wamekuwa wakilalamikia utekelezaji dhaifu wa baadhi ya mikataba bila kupata majibu fasaha.
Lakini pia taarifa...
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.
So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya...
Picha: Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila mwanzoni kulia
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameagiza kupata maelezo ya kina juu ya hatua zilizochukuliwa na Jeshi la Polisi dhidi ya askari, Nuru Mtafya anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi anayejulikana kwa jina la Neema Mabula wa...
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza ametoji maswali nane juu ya tozo za miamala ya simu na majengo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera … (endelea).
Tangu kuanza kwa tozo hizo, zimeibua mjadala kwa wananchi huku Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.