aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. nentewene

    Tungo: Tena sioni aibu.

    tena sioni aibu.. kukutaja hadharani.. wew wangu tabibu ..tamu yangu kitandani.. mke wangu mahabubu.. hebu tuache utani.. kwako wew -mimi bubu,nabaki kukutamani.. kila kitu nahusudu ... nje hadi ndani
  2. D

    Rais Samia umetukosea sana Watanzania, tunajihisi aibu mbele ya walimwengu

    Bandugu, Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense...
  3. Architect E.M

    Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

    Yaani Airtel ni kero kweli. Mtandao mkubwa namna hii mji mzima internet iko 2G? Hata hapa napost kwa shida. Kupiga huduma kwa wateja, ni mlolongo wa maelezo recorded na huwezi kupata direct access ya mtoa huduma. Ni kero juu ya kero. Kama mmeshindwa kazi semeni tuhame.
  4. Kamanda Asiyechoka

    2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

    Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi. Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli. Chama kinatakiwa kije kukamata dola. Siasa siasa za kibiashara tu.
  5. Zanzibar-ASP

    Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

    Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki. Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani...
  6. tpaul

    Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

    Serikali hii ya CCM ina mambo ya ajabu sana. Ni aibu kwa serikali inayojinasibu kuzingatia usawa kufanya uhuni wa kiwango hiki. Sijawahi kuona serikali yenye ubaguzi mkubwa kwa wananchi wake hapa ulimwenguni kama serikali ya CCM. Katika uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha kwanza...
  7. Determinantor

    Ni aibu sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame

    Ni Aibu Sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame. Tuna week ya tatu sasa mvua kubwa zinanyesha kila mahali nchini halafu unashangaa Dar haina maji. Nimepita mikoani mvua kubwa sana zinaendelea kunyesha lakini umeme unakatwa Tu. Huu ni Ujuha na kiwango kikubwa cha...
  8. Mama Edina

    Dar inasemwa kumjibu Generali ulimwengu. Inatia aibu

    Hivi jamani kwann mambo mengine msinyamaze mkijirekebisha. Vyuo vingi ni kama extended high school sio uongo. Zamani tulizoea ukisikia kitivo cha sheria, kitivo cha lugha unajua kabisa hapo kumesimama. Siku hizi hovyo hovyo Yapite
  9. A

    Immigration JNIA (Dar) Epukeni aibu hii

    1. Arrival lounge inajaa kupitiliza, 2. automated border control systems(gates) hazifanyi kazi, 3. Madirisha ya kugonga passport Machache kulinganisha na idadi ya watu wanaoshuka kwenye ndege. 4. Air Conditioner hazifanyi kazi. 6. Vyoo navyo mtihani.
  10. kavulata

    Tanzania ni bora kuliko Kenya, Lissu apingwa na Wakenya kwa ushahidi, anatia aibu.

    Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani? https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
  11. JanguKamaJangu

    Aibu Old Trafford, Bournemouth yaipiga Man. United 3-0

    Uwanja wa Old Trafford umekuwa mchungu kwa wenyeji Manchester United baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 kutoka kwa Bournemouth katika Premier League. Kipigo hicho ambacho ni cha 7 katika mechi 16 za United katika EPL 2023/2, kimekuja siku moja tangu Kocha Erik Ten Hag na Harry Maguire wa...
  12. sky soldier

    Ndugu unaempa mtaji ajitegemee anaanza upya kukuomba pesa hana mshipa wa aibu?

    Ni ndugu yangu mwenye miaka 26, kamaliza chuo mwaka juzi. Hapo zamani mara kwa mara alikuwa akiniomba pesa za kutatua shida zake, hizi elfu 20 nimemtumia sana. Nikaona isiwe taabu, kitu anachoomba ni kama samaki naowavua basi nayeye nimpe ndoano awe anajivulia, Tulikaa chini pamoja nikamuuliza...
  13. ChoiceVariable

    Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
  14. Chachu Ombara

    CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  15. kavulata

    Aibu hii ya waandishi wetu tumlaumu nani?

    Ukweli tunatia aibu. nadhani sekta ya habari inahusika na jambo hili. Sikiliza swali la mwandishi wa valor kwa kocha wa Al-Ahly. https://www.youtube.com/watch?v=oN9GvVQGckg
  16. Melki Wamatukio

    Nashindwa kutongoza. Naona aibu

    Dah, nimekulia kwenye ukweli na uwazi ndugu zanguni. Kulaghai mtu siwezi kabisa. Kikwazo sio mimi, kikwazo ni huyo mwanamke anayenisikiliza. Huwa najiuliza sana kuwa ananichukulia vipi? Just assume, umetokeza kutoka kwenye kona ya nyumba, ghafla bin vuu unapamiana na mwanamke kiasi cha...
  17. sky soldier

    Ni aibu kubwa mwanafunzi awe na first class GPA chuoni abaki mtaani, hawa watu wabakizwe vyuoni, mtaani bila mitaji wanateseka sana

    Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha. Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea...
  18. Magical power

    Nimepata aibu kubwa ukweni

    AIBU Kama kawaida mzee wa visa nakuletea kisa kingine iki apa twende sawa. Dada naomba nipeleke huko kwa wamama kuna aibu imenipata nilikuwa ukweni yani nilienda kwa mara ya kwanza na nilifika usiku nikapewa chumba nililala peke yangu sasa usiku nikabanwa na haja kubwa na chooni sipajui na...
  19. Vincenzo Jr

    FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  20. Nsanzagee

    Hamas pambaneni acheni visingizio, la hamuwezi, nyoosheni mikono msione aibu!

    Magaidi wamekuwa walalamishi kwa visingizio kibao, eti IDF anapiga sana watoto na wake zao, kwa nini asiwapige wao tu? Wanasema hivyo, huku wakijificha sehemu ya watoto na wake zao, sasa wanataka adui yao akitupa bomu, likachague gaidi liliojificha kwa watoto na wanawake? Hii sjawai kuiona...
Back
Top Bottom