Sijaona robot ambaye yuko emotional kama yule wa Airtel.
Nazani mama mpaka Leo anajua yule jamaa ni Robot. Kwa maana ile siku alimsifia kweli kweli , bila ya kujua ni mtu
Na bado sijajua elimu ya Waziri Mawasiliano na Habari ( Nape ) , coz inaonekana na yeye hajui kinacho endelea
Afrika ni bara tajiri sana. Hilo halina ubishi, wasomi wetu wengi wanakuja na ushahidi wa kila namna unaoshihirisha namna bara hili lilivyobarikiwa. Kuanzia juu kabisa kule Morocco mpaka Afrika ya Kusini pote huko kumejaa mali nyingi zilizo chini ya ardhi.
Uranium inayopatikana nchini Niger...
Katika hali ya kawaida, ungetegemea wananchi kutokuunga mkono mapinduzi dhidi ya viongozi wao waliowachagua wenyewe.
Tatizo ni kwamba baada ya kuchaguliwa viongozi huamua kuwa vibaraka wa mabeberu wa nchi za magharibi na kuwasahau wananchi waliowaweka madarakani.
Sasa Rais aliyepinduliwa...
Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu.
Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2...
Anonymous
Thread
aibu
baada
barabara
hata
inaanza
kabla
kazi
kuisha
mbagala
mfupi
muda
mwendokasi
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?
Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Feleshi ni mtu wa ajabu. Kwanza ana historia ya ufisadi (suala la Plea Bargaining hatujapata jibu).
Pili, ameshindwa kuitetea serikali au kushauri invyotakikna katika sula la mkataba wa DP World na serikali. Mpaka sasa hajatoa kauli ya kueleweka kwa nini...
Kuna haja ya serikali kuvipa vipaumbele vitu muhimu ambavyo vitahitajika katika miradi tarajiwa.
Serikali inasiaid mikataba mikubwa ambayo ilipitisha muundo na bajeti ya mradi fulani bila kuzingatia mahitaji na vipaumbele vitakavyoleta tija nchini mwetu matokeo yake Fedha za kufanyia shuguli...
Peace be upon you all,
Miaka kadhaa nyuma wakati nafanya kazi katika shirika fulani la serikali nilisafiri kwenda nchi jirani kikazi kwa muda wa miezi miwili kama project consultant.
Wakati niko hapo kwa jirani yetu siku moja ya weekend katika mapumziko mida ya alasiri kuelekea usiku...
Katika miezi ya hivi karibuni vyombo vya habari vya Ghana na vyombo vya habari vya kimataifa vimekua vikiripoti habari nyingi kuhusu msukosuko wa deni la Ghana, msukosuko ambao umeifanya Ghana kuingia kwenye hali ngumu, ambayo suluhu pekee ni kujadiliana na wakopeshaji wa kimataifa, ili...
Inatisha sana ukipita asubuhi eneo la Kawe Stand na kukuta makundi ya vijana wakivuta bangi na kujidunga sindano za dawa za kulevya huku wakisindikiza na pombe na energy.
Inashangaza sana kwasababu kituo cha Polisi Kawe hakipo mbali na eneo lile, ni kama mita 250 hivi lakini vijana wale...
Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.
Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa...
Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
---
Winshear...
Nianze kwa kusema ukweli kwamba Waziri Juma Aweso, Anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kwamba Tanzania tatizo la maji linakwisha lakini naamini watendaji wake ndio wanaomkwamisha.
Ni miezi mitatu sasa Jiji la Mwanza lililozungukwa na Ziwa Kubwa barani Afrika Wakazi wake tunakosa maji wakati ziwa...
Wasalaam,
Kwenye hili la mkataba wa bandari kuna dalili ya baadhi ya watu kujivua koti la uraia na uzalendo. Jamani akili ya uhai itumike Kwa mkataba wa kizuzu kama ule kisa tu ukichaa wa dini na kuwaaabudi waarabu kweli tunakuwa vipofu kiasi hiki.
Penye kweli ibaki kweli hizi dini zimeletwa...
Haihusiani na kwenda kumjulia ndugu hali kwa wiki moja ama mbili, haihusiani na kukaa kwa ndugu ukienda mkoa wake kikazi.
Walengwa ni watu wazima miaka 24+ wenye kuweza kufanya shughuli yoyote halali.
INAVURUGA BAJETI - Ndugu yako kapanga nyumba anaanza kujibana ajenge kwake ila wewe unaenda...
Bwana miaka ya nyuma Nikiwa zangu Tanga nishamaliza masomo afu nishafeli sielewi elewi kila kazi ninayofanya inagoma Nikaona ni vyema niongee na mama angu Ili nije dar kutafuta maisha.
Mama akaona nikija Dar ovyo ovyo nitakuwa TEJA ivo alimpigia simu kaka yake ambae mimi ni anko wangu na...
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri
Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi
Money penny: kwahiyo unasemaje?
Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa...
Wajumbe,
Mkataba huu wa kijambazi wa DP World na wajanja wachache ndani ya CCM na Serikali yake imekiacha CCM uchi mchana wa jua Kali. Kinachoendelea kwa sasa ni kujifaragua tu na the so called "tuendelee kutoa elimu" kwa wananchi.
Serikali ikisema unafutwa tuanze upya itakuwa ni aibu na...
Mzee Butiku anasema kwa namna kelele zilivyo nyingi kuhusu suala la bandari serikali Ina namna mbili tu..
1. Kiheshimu hofu na maoni ya wananchi kwamba hawajaridhika na suala hili, au
2. Kuwapuuza wananchi na kuendeleza na suala hili.
Lakini wapime madhara ya kila uamuzi watakaoifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.