Wakuu, kufulia kusikie tu kwa jirani aisee. Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m-pesa. Sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.
Kwako wewe afisa wa NSSF unayekenua kwenye TV, ukijifanya mtaalamu wa HESABU za vikokotoo, swali langu ni 1 tu.
Kwanini mmetolea mfano wa afisa wa serikali aliyestaafu wakati akilipwa mshahara wa tsh 2,000,000/=( hapa ndipo AIBU ilipojificha)
Kokotoeni mshahara wa walio wengi ili AIBU yenu...
Haingii akilini hata kidogo mtu apambane zaidi kutafuta njia ya kujitegemea kwa kutegemea elimu ya chuoni impe ajira ambazo hazina uhakika huku hana ujuzi wowote wa kumfanya ajiajiri kwa uhakika hata akikosa ajira.
Mwenye ujuzi ni ngumu sana kulala njaa lakini mtu hata uwe na masters yako kama...
Njia pekee ya kuacha aibu ni kufanyia mazoezi.
Fanya mazoezi ya kuwa jasiri utakavyo.
Fanya mazoezi kwa wanawake wengi uwezavyo.
Ongea chochote na wanawake wengi uwezavyo. Huna cha kupoteza wakati unafanya mazoezi.
Kama utasoma haya na hufanyi mazoezi ni kazi bure.
Pia baada ya muda utaachana na...
Imekuwa ni porojo tu utumishi huko na hazina.
Bora tu kaondoka Jenista maana alikuwa gundu watu hawalipwi madai yao!
Hivi Serikali mnawaona wafanyakazi wanyonge au mapoyoyo? Kutwa kujifanya mnaandaa malipo ya malimbikizo na hamlipi?
Je, Rais naye anadanganywa kuhusu hili?
Tupo kwenye Karne ya science na technology, Karne ya information age Karne Ambayo vitu vinatakiwa viende Kwa Kasi.
Sasa huwa najiuliza hawa watendaji wetu mbona wamelala usingizi mzito. Ni ushamba au kutokutaka kutimiza wajibu wao.
Hawa hawa watumishi kwenye majumba Yao kuna Camera kila Kona...
Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika!
Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani wameweka meza nje afu nyuma ya ukuta umechoka balaa, podium yenyewe imepauka pauka yan leo ndo nimejua...
Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za Magufuli, Lakini Rais Magufuli akagoma kumuidhinisha Membe akagombee, Diplomatic kadhaa walijaribu...
Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za Magufuli, lakini Rais Magufuli akagoma kumuidhinisha Membe akagombee.
Diplomatic kadhaa walijaribu...
Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.
Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia...
Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania.
Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja.
Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu.
Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what...
Ameanza ile hulka yake ya kufuta kaze majenerali kila wakipokea kipigo...
Vladimir Putin has fired one of the top generals leading Russia's forces in Ukraine, after an attack on the eastern town of Vuhledar ended with dozens of tanks being destroyed.
General Rustam Muradov was sacked in the...
Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
Ukraine imepangua mashambulizi 47 juzi huku siku zikitimia 400 tangu Urusi ijiingize kwenye huu msala....
Kiev, Mar. 31, (dpa/GNA) - Ukrainian troops defeated several simultaneous Russian attacks on different sections of the eastern front as Ukrainian President Volodymyr Zelensky marked 400...
Kesho kuna mechi ya Raja usiku saa saba, ikumbukwe mwarabu alishamvurumisha Simba tatu kwa mkapa, Kesho Simba wasipokuwa makini watabanikwa wazima wazima kuweka rekodi ya aina yake
Robo fainali wamevamia mtumbwi wa vibwengo wanaenda kutana na Mamelodi.
Robo fainali hawatoboi kwa Mamelodi...
Hivi umeme kukatika Benjamin Mkapa Stadium mbele ya halaiki ya dunia mnaona ni suala la kawaida? Embu oneni aibu bhana kama raia wa kawaida tunavyoona aibu.
Mnakimbilia kuitangazia dunia ije kuwekeza Tanzania, ije kuitembelea Tanzania, wakati hatuwezi kufix vitu vya kawaida tu kama umeme...
Najua baadhi mtamtetea ila kama Waziri na Kiitifaki ( kwa Ugeni wa Leo wa Waziri Mkuu Uwanjani ) alipaswa kuhakikisha Maandalizi yote ya Mchezo yako tayari na hakuna tatizo lolote lile.
Tokea anateuliwa katika Nafasi hiyo GENTAMYCINE nilisema Waziri huyu Pindi Chana (Chawa wa Mama) ni Mzigo na...
Hakuna neno zuri unaloweza kutumia zaidi ya aibu! Aibu! Aibu! tena aibu kubwa. Serikali kupitia Wizara ya afya imeutangazia Dunia hadharani kuwa ugonjwa wa kula kinyesi cha binadamu (kipindupindu) kimerejea nchini na tayari kuna wagonjwa 72 na 3 kati yao tayari wamekufa.
Kwamba ugonjwa huo uko...
Utawala bora ni dhana pana. Hata hivyo kuzidiwa katika lolote kwenye dhana hiyo na wataliban wa Afghanistan tunapaswa kujiuliza tunakwama wapi.
Nepotism - Yale mambo yetu ya kujuana na kupeana ajira kindugu, mtaliban hana mzaha.
Enyi wenye u-bin wenye kujinasibu na vigogo madarakani au...
Baaada ya jana Mnyama mfalme wa nyika mwenye pori lake kuwatafuna na kuwavulumisha timu nguri ya Horoya kwa magori saba kwa nunge, na kuipa nchi sifa kedekede hatimae leo Taifa litapokea aibu toka kwa vyura wa Jangwani yaani Utopolo max
Sasa kwa siku ya leo ndugu watanzania na wapenzi wa mchezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.