Wanataka ionekane kama ambao walikimbia mapigano, sio kwamba waliuawa.
Wanatumia magari yenye tanuri ya moto wa kuchoma maiti hadi majivu
========
The Russian Ministry of Defence has been notoriously protective of data on the casualties suffered during Vladimir Putin's "special military...
1. Hii aibu ya Mwigulu na Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) haya natabiri yanaweza kutokea
1. Kuondoa bunge live kuwaepusha na aibu CCM na wateule wa Rais na serikali kwa ujumla maana huyu siye wa mwisho.
2. Mwigulu anaweza kutemwa kama kutakuwa na...
Majengo chakavu ya shule ya Msingi Mkalapa, wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara yaelezwa kuhatarisha maisha ya wanafunzi na walimu.
Majengo chakavu ya shule ya Msingi Mkalapa, wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara yaelezwa kuhatarisha maisha ya wanafunzi na walimu.
Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 1947 na...
Dah
👇
Huwa nasisitiza mara zote kuwa tunahitaji #KatibaMpya hata kwa njia za mkato, fikiria hili jitu linafananisha tozo za nchi maskini Tz na Ulaya. Halitaki kufananisha demokrasia Tz na Ulaya lenyewe linawaza tozo tu ili lilipwe posho. Kwanza linapotosha Ulaya ni Kodi tu hakuna tozo...
Hii special operation imekua aibu na kero kwa Warusi, dah... kainchi kadogo ka Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi, kila nikiangalia hii ramani nashangaa sana
Kainchi ka Ukraine kwenye hii ramani, hata wale wanaoshabikia Urusi kisa mihemko ya kidini ya chuki zao kwa Marekani wanapaswa wapate...
Wakuu nimetimba hapa Duce aisee ni aibu. Kuna mazingira yote ya urasimu unaendelea kwenye interview zilizofanyika jana.
Tulitegemea matokeo yawekwe kwenye sekretarieti ya ajira lakini haikuwa hivo.
Nimefika hapa asubuhi naambiwa eti waliofaulu walipigiwa simu.
Mpaka sasa hatujui waliopiga...
Walioachwa nyuma wakati wenzao walitoroka kwa magari, wameishia kuiba baskeli na kutoroka nazo ili tu waokoe maisha yao...vijana wa Ukraine wanaendelea kutembeza kichapo....
Russian soldiers abandoned by their units in the eastern Kharkiv region of Ukraine fled in disguises on bicycles...
Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana na nchi yao...wenyewe wanaita "mother Russia"
A Russia state-media host has called for the...
Ukiwakuta hawa wamevaa ma scarfs ya bendera ya taifa na kushikilia ilani ya CCM kwenye makwapa yao unaweza kusema hii nchi imebarikiwa sana.
Wengine walikwapua mabilioni ya wizara ya utalii na CAG akathibitisha lakini kimyaaaaa bado wanajifanya wazalendo, wakatumia hadi ndege za Tanapa kula...
Hapa napenda kuzungumza na kijana wa kitanzania aliyehitimu elimu ya juu na kuingia mtaani kusaka ajira.Kuna dhana moja iliyojengeka miongoni mwa vijana kwamba unapovua kofia yako kusherehekea ushindi ulioupata baada ya safari yako ya elimu basi huna budi kupata ajira rasmi kutoka serikalini au...
Mungu nakuomba uniongoze niandike kinachoeleweka
Tanzania sasa inapitia wakati mzito na mgumu sana kama Taifa. Wananchi wamepoteza matumaini lakini kinachowazuia kufanya maamuzi ni hofu ya kuuawa kinyama na vyombo vya dola ambavyo vimeshikamana na mirija inayoitafuna nchi yetu.
Hali ya...
Inasikitisha, zamani kusajili jina la biashara ilikuwa ni siku tatu za kazi lakini sasa hali imekuwa mbaya sana.
Biashara majina yanachukua zaidi ya mwezi mmoja.
kesi kubwaa sana ambayo kwa kweli sidhani kama kuna jaji wa tanzania mwenye level ya kuielewa achilia mbali kutolea maamuzi soon inaanza kunguruma hapo kenya maamuzi yake yanatarajiwa kutolewa mwezi ujao mwanzoni
Ni kesi kubwa kila upande unavutia kwake, hawa wanasema kuna wizi wa kura leo...
Najua kuna watu watakuja na mambo ya kizungu ya utafiti, sayansi, research, n.k lakini haya mambo ya asili yana upekee wake yaachwe kama yalivyo,,, mfano wa sisi tulioishi bush kidogo, kidole kikiingia funza, tiba asili ni kuchuma ndulele na kuivika kwenye kidole unapona fasta tu, ni tiba ya...
Huyu jamaa kwa sasa usingizi wake ni mbaya, siku zote aliyemadarakani ndie hulalamikiwa Kwa kuiba kura lakini Kwa Kenya imekuwa tofauti aliyepo madarakani ndie analalamika kuibiwa. Kama ruto ataapishwa na kuwa Rais wa Kenya ,basi ujue ati uhuru atajipata mpweke sana.
Na sio tu kuwa mpweke Bali...
Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona.
Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji.
Tablet zinazo...
Kwema Wakuu!
Natambua wapo wakubwa zangu humu ambao mnaweza nishauri na kuniongoza kwenye mazuri.
Aisee! Nisiwe Mnafiki, sijui ni ugonjwa au ndio asili yangu, au asili ya kila Mwanaume.
Nina tabia ya Kupenda kila Mwanamke Mzuri atakayepita Mbele yangu.
Awali wakati Nabalehe miaka zaidi ya 10...
Watu wengi mara nyingi huuliza swali jinsi ya kushinda kutojiamini. Ikiwa unaweza kujiambia moja ya maneno haya: aibu, kutengwa, aibu, kujiamini, na zaidi ya hayo, unafikiria kila wakati juu ya kile watu watafikiria juu yako na mara nyingi una wasiwasi juu ya kuwa karibu na watu, basi utambuzi...
Niende moja kwa moja kwenye mada ya kichwa cha uzi. Kadri siku zinavyokwenda idadi ya wanaofanikiwa kufaulu mtihani wa kidato cha nne, ule wa kidato cha sita, wale wanao hitimu mavyuoni ambao mwisho wa siku wanakua waajiriwa au wanajiajiri, au wapo tu mtaani, ni kubwa na inayoendelea kukua.
Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.