aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Matokeo ya Ngumi za leo kati ya Kidunda na Msouth yanatia aibu, Kidunda kabebwa

    Namshauri Kidunda aache ngumi , amekwisha , akiendelea atadhalilisha jeshi letu , na ikibidi astaafishwe kinguvu Hatuwezi kuendelea kubebwa kibwege namna hii Kingine ni hiki , wanajeshi kuja na magwanda na mabuti walitaka kumtisha nani ? siku wakija na makombora mtaendelea kunyamaza ? huu ndio...
  2. I

    Vitisho vya Godbless Lema kwa wafanyabiashara ni aibu tupu

    Na Joseph Maziku, Arusha Mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mbunge wa zamani wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema ameingia katika rekodi nyingine ya kushangaza kutokana na utaratibu anaoutumia kuomba michango ya fedha kutoka kwa wafanyabiashara Jijini...
  3. M

    Kwa hali hii atagombea tena 2025?

    Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti. Je, atagombea tena 2025?
  4. Israel yafanya mambo ya aibu na uwendawazimu.Yatengwa na mataifa karibu yote duniani

    Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza. Mwanamfalme wa Uiengereza. William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel...
  5. Mi bahili mpaka najishangaa mwenyewe

    Sijawahi hata siku moja kuliwa nauli. Dada mmoja alijaribu kula tsh 8,000 yangu. Nikasema moyoni ataitapika. Wala sikumlaumu. Ukiliwa nauli na demu usimtukane. Kuwa mpole kuwa kama fala. Usimzindue. Ile pesa nilimtumia alipoipata akasema hatoweza kuja. Nikamwambia its ok hamna shida pole pia...
  6. Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema. Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa...
  7. A

    KERO Sehemu ya kusubiria boti Zanzibar inatia aibu

    Mamlaka ya bandari Zanzibar sidhani kama haioni hali ya sehemu ya kusubiria boti kwenye bandari yao. Wateja wengi wa boti hupanda economy class ambayo watu wengi husubiria huku kwenye viti vya plastic. Safari inamtaka mtu afike pale walau lisaa limoja kabla. Hivyo hutumia viti akisubiria...
  8. Jirani anatumia usafiri wa ajabu kweli

    Jirani anatumia usafiri wa ajabu kweli Kujisifu kote kule lakini usafiri wa umma hovyo. Hivi afcon 2027, east Africa inaweza pigwa ban maana usafiri wa Nairobi kichefuchefu Jirani, badilika
  9. N

    Jamani mnajizuia vipi na aibu hii mnapopatwa na tatizo la tumbo la kuendesha kwenye nyumba za watu wengi uswahilini?

    Kuna nyumba choo kipo mita moja tu kutoka wanapokaa kina dada kupiga stori zao, za umbea, of course. Wanakuwa hapo kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku; teleza na kuanguka usikie hivyo vicheko. Sasa kuna huu ugonjwa wa kuhara ambao wengi wenu humu mnaumwa hapa tunapoongea; na mnajua fika kuwa...
  10. Kile ambacho unakionea aibu ndio hichohicho kitakachokupa matokeo yatakayo kushangaza

    Jambo wote! Leo sina mengi ya kusema, ni hivi. Ikiwa kuna jambo lolote akili mwako unajua ukilifanya utapata pesa. Lakini unaona aibu kuwa Watu watakuonaje au utadharaulika. Taikon Master kama mtaalamu wa Mindgame ninakuambia jambo hilohilo ndio litalokupa matokeo yatakayokushangaza. Maisha ni...
  11. Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

    Signed out
  12. Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo. “Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
  13. DOKEZO Zahanati ya Mashati (Rombo) kuwa hatarini kutokana na nyufa ni dalili za kukosekana uwajibikaji Serikalini

    Nimeona hili habari, isome kisha nami nitatoa maoni yangu... Zahanati ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, iliyotajwa kujengwa zaidi ya miaka tisini iliyopita ipo hatarini kuanguka baada ya zahanati hiyo kuwa na nyufa hali ambayo inatishia usalama wa wagonjwa pamoja na watoa huduma...
  14. Aibu TANZANIA tumeshindwa kupeleka mashabiki AFCON

    Nashindwa kuelewa kwanini TFF na Serikali wameshindwa kupeleka hata mashabiki 50 katika hii michuano hii ya AFCON. Nchi yetu Tanzania tumezidi sana siasa na ufisadi. Katika pesa ambazo CAF wametoa TSH 2.5 Billion kwa kila nchi, tumekosa hata fungu la mashabiki? Ukiangalia kuna vinchi vidogo...
  15. T

    Kwanini wasichana wananionea aibu mimi?

    Wakuu, at first anaonekana kutaka attention yangu lakini navozidi kumkaribia ili kuwa naye urafiki hazipiti siku tatu anaanza kunikwepa na kunionea aibu. Nami ambavyo sipendi kushoboka nampotezea. Girls wengi marafiki nakuwa nawapoteza kiivyo. Hii imekaaje wakuu
  16. Jopo la Wanasheria wa Afrika Kusini wameiheshimisha Afrika, ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki

    Wanakumbi. Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza. • John Dugard • Max Du Plessis • Adila Hassim • Tembeka Ngcukaitobi • Tshidiso Ramogale •...
  17. Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) yatia aibu Côte d'Ivoire

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Karibia mataifa yote yanayojitambua (Mataifa ya watu weusi) yameenda au kuwasili Ivory Coast kwa kuwa na aina yake ya mavazi (Attire). Tanzania tangia tumeenza mchakato wa kupata Vazi la Taifa lililoratibiwa na serikali ya wendawazimu (ccm) hadi leo...
  18. Matokeo ya shule za serikali ni aibu, tupambane tupeleke watoto shule za serikali

    Wanajamvi habari zenu? Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika. Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo. Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private...
  19. Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

    Kuelekea AFCON 2024. Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast). Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana. Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili Waliowapokea...
  20. C

    Mwanaume mwenye aibu...

    Habari? Wajameni naombeni msaada wa kimawazo. Kuna mwanaume ambaye anaonyesha dalili zote za kunihitaji kwenye mahusiano lakini hawezi kabisa kutamka kuwa ananihitaji anapokuwa hajanywa pombe. Anapolewa anaweza kuongea chochote na kuahidi kila kitu. Ila pombe zinapomtoka, atabaki kufanya ishara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…