Tunauza Samaki aina ya Sato kwa Bei ya TSH 9,000 tu kwa kilo moja
Kwenye kilo moja unapata samaki 4 - 6 wenye uzito wa 250g - 150g
Samaki wetu ni wakufugwa, wanafugwa kitaalamu na aquaculture experts, mabwawa yetu ni concrete pond hivyo samaki wetu Wana radha nzuri na muonekano mzuri Sana...