aircraft marshall

  1. Goodhope078

    Mdogo wangu ameomba kazi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kama Aircraft Marshall

    Jamani khabari za uzima!? Kwanza nipende kupeni pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Ndugu zangu naombeni msaada kuna mdogo angu ameomba kazi mamlaka ya viwanja vya ndege kama aircraft Marshall. Lakini nikiangalia majina yanayota ya wanaoitwa kwenye usaili ni tasisi zingine tu kama kuna mtu...
Back
Top Bottom