Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji
vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji
vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Habarini waungwana. Leo nimekubali kuwa Mchina siyo mtu.
Jamaa yangu kanunua Apple Airpods Pro 2gen (ambayo ni premium copy) kwa tshs 90,000/=, aise, ina sound quality ya hatari hadi nimejuta kwanini nilijilipua kununua Airpods Tshs 630,000/= kutoka elite computers.
Kwa kiwango hiki cha ubora...
Habarini ndugu zangu, nimenunua simu aina ya iphone, baada ya kukaa kwenye android kwa miaka yote ambayo nimetumia simu nikaona ngoja niingie kwenye ulimwengu wa iphone ili nionje hali ya hewa na uko pia.
Sasa nataka kujua ni wirelee earphone gani ambazo ni bei rahisi na zenye kutoa mziki mzuri...
Habari wadau.
Nani anajua vizuri hizi airpods pro copy. Naona kila anaeuza zake zina utofauti tofauti. Sasa nashindwa kujua ipi ni bora kwa sasa.
Naombeni ushauri wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.