Habarini ndugu zangu, nimenunua simu aina ya iphone, baada ya kukaa kwenye android kwa miaka yote ambayo nimetumia simu nikaona ngoja niingie kwenye ulimwengu wa iphone ili nionje hali ya hewa na uko pia.
Sasa nataka kujua ni wirelee earphone gani ambazo ni bei rahisi na zenye kutoa mziki mzuri...