Airtel Payments Bank is a public limited company with its headquarters in New Delhi, India. The company is a subsidiary of Bharti Airtel. It is the first company in India to receive a payments bank license from the Reserve Bank of India and it became the first live payments bank in the country. On April 11, 2016 the Reserve Bank of India issued the license under Section 22 (1) of Banking Regulation Act, 1949 to Airtel Payments Bank. Airtel Payments Bank is a joint venture between Bharti Airtel Ltd. and Kotak Mahindra Bank Ltd.. Kotak Mahindra Bank holds 19.9% stake in the Airtel Payments Bank.
Company Overview
Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult) is a management consulting firm specializing in organizational change, talent search, acquisition, and executive selection. We are currently recruiting on behalf of our client, a well-established Telecommunication Company, for a...
Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine
Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000
Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri)
Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
Wakuu salaam,
Airtel kama mitandao mengine ina huduma inayokuwezesha kuomba kutumiwa pesa na mteja mwingine (kwa TiGO sijaona huduma hii), lakini kwa Airtel iko tofauti kiasi.
Kwa Airtel unaweza kutuma maombi hayo kwa mtu mwingine anayetumia Airtel pamoja na wateja wa mitandao mengine, yaani...
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi?
Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu. Hawahangaiki hata kuchapa pesa kama benki kuu, wanachapa tu codes, tunakopeshana keshi wenyewe...
“Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.”
“Tangu nimekuwa msemaji wa timu yenu timu haijawahi kuja Arusha hivyo nikaona hii ni nafasi nzuri ya kuja tuonane. Nimefurahi kwa...
Tena natamani sana wana Simba SC Wenzangu wangeingia katika Mawazo yangu ya kutaka tuwe nafasi ya Tatu ili twende Kombe la Shirikisho ( kama litakuwepo ) ili taratibu tunapoanza Kukijenga Kikosi chetu kwa Msimu ujao tuanzie huko kwa Kujipima ila kwa Jicho la langu Tukuka la Kiufundi hata Simba...
Je kila MTU ana experience ratizo hili?
Ukitaka kuangalia taarifa za kadi au kutengeza mpya kuna ujumbe napokea ona
Toka juzi, nimeshindwa kununua bidhaa, nambieni Voda kukoje nizame maana ni haraka oda isije fungwa
Habari wakuu
Kwa wale watumiaji wa E-wallets haswa Skrill , ninaona wameongeza huduma ya kutoa pesa kwenda Mobile money!
Nimejaribu kuangalia makato (Fee) yake kwa kupitia Airtel money naona kama charges zipo juu sana. Vipi ni njia gani nafuu mnazotumia ndugu zangu?
Naombeni msaada Nifanyaje jana mafundi walikuwa site nusu wanipige makofi.
Pesa imetumwa kutoka CRDB kuja Airtel money tangu jana alhamis saa 12 jion hadi saiz naandika ni saa 12 asubuh pesa haijafika CRDB Wanasema pesa imeshatumwa Airtell Money wanasema hakuna muamala wowote.
Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando.
Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako.
Nini maoni yako
Habari za leo,
Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumiaji wa huduma za Airtel Money.
Juzi tarehe 3 Machi 2023 nilifanya muamala wa kuhamisha pesa kutoka Airtel money kwenda Benki, akaunti yangu binafsi pesa ilitoka ila kwenye akaunti haikuingia.
Nilipiga simu huduma kwa mteja wakasema kuwa wao...
Leo nimetuma pesa kutoka akaunti ya NMB kwenda airtel money pesa haikufika. Nikatuma tena kutoka Tigo pesa nayo haikufika. Nimepiga simu huduma kwa wateja mhudumu akasema hanisikii vizuri akakata simu. Kuna mtu amekumbana na hili tatizo au ni mimi tu🤔
Taarifa zimetoka jinsi kikundi cha udukuzi cha kofia nyeusi 'black hats' kilivyotumia tovuti ya michezo nchini Uganda kuchukua pesa kutoka kwenye mfumo wa Airtel Uganda(AMCUL)
Wakati tovuti hiyo ya kampuni ya michezo ya kubahatisha ikijisifu kufata viwango vya usalama kulinda taarifa za...
Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani?
Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida?
Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka...
Habari zenu wakuu,
Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.
Napokea maoni, ushauri na...
Tangu ongezeko la tozo kwa mitandao ya simu, mawakala wengi hususani Tigo Pesa na M Pesa wamekua wakigoma mtu kutoa pesa akiwa nje ya eneo la ofisi zao.
Jamaa yangu alikua anataka kunitumia pesa akashauri niende kwa wakala ili atoe hapo na nichukue pesa.
Wakala akakataa kwa hoja mtoaji yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.