airtel money

Airtel Payments Bank is a public limited company with its headquarters in New Delhi, India. The company is a subsidiary of Bharti Airtel. It is the first company in India to receive a payments bank license from the Reserve Bank of India and it became the first live payments bank in the country. On April 11, 2016 the Reserve Bank of India issued the license under Section 22 (1) of Banking Regulation Act, 1949 to Airtel Payments Bank. Airtel Payments Bank is a joint venture between Bharti Airtel Ltd. and Kotak Mahindra Bank Ltd.. Kotak Mahindra Bank holds 19.9% stake in the Airtel Payments Bank.

View More On Wikipedia.org
  1. Nafaka

    Hamisha pesa directly toka payoneer mastercard kuja airtel money haraka

    Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu ya makato pale mnapoenda kudraw pesa kwakutumia payoneer mastercard sasa airtel wamesolve hilo shida. Airtel wana huduma ya kuhamisha pesa kutoka mastercard au visa kuja airtel, hivyo unaweza tumia njia hiyo hamisha pesa toka payoneer account kuja airtel...
  2. rich1

    Airtel Money Tanzania wanachukua muda mrefu kurudisha muamala wa mteja

    Kwema wandugu: kilio changu leo nawapa airtel money Tanzania, kwanini muamala wa mteja unachukua mda mrefu kurudishiwa. 1. Mara mseme mpaka mteja apokee simu muongee nae ndo muweze kurudishwa ina maana kama mteja amefariki muhusika hawezi rudishiwa pesa yake. 2. Tuna omba majibu au ndo...
  3. luangalila

    Airtel mnazingua huduma yenu airtel money haifanyi malipo ya serikali

    Tangu Jumatatu najaribu kufanya malipo ya serikali kupitia Airtel Money lakini malipo yana kwamba (pending) na inachukua masaa 38 kurejesha pesa a mteja ktk account yake. Huu ni uduwanzi mnatukwamisha. Airtel kama system yenu ya malipo haipo sawa ni vyema kutoa taarifa mapema.
  4. Afisa Mteule Drj 2

    Airtel Money na huduma ya ovyo kuwahi kutokea

    Nimekuwa nikitumia huduma za fedha za mitandao mingi ya simu lakini sijawahi kuona huduma ya hovyohovyo kama airtel money.Uhaka wa fedha yako kufika ulipoituma ni mdogo sana. Unaweza ukatuma hela unakatwa kodi, hela inapungua kwenye akaunti na utatumiwa meseji kuwa muamala umefanikiwa lakini cha...
  5. NnkoJR

    SoC01 Tozo mpya zinauma, lakini zinaweza kuwauma CCM,upinzani ukasongesha

    ALHAMISI ya Julai 15, 2021 inaweza kuwa moja ya siku yenye kumbukumbu ya kuchosha akili za mamilioni ya Watanzania, ambao simu imekuwa tegemeo lao la kufanya miamala ili kufanikisha shughuli mbalimbali za kibinafsi na hata maendeleo yao. Hii ni kutokana na kuanza kutekelezwa rasmi kwa tozo mpya...
  6. Baba ilham

    Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Habari, Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala. Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje? Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo...
  7. Lilylome

    Biashara ya uwakala M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money

    Habari ndugu zangu naomba muongozo mwenye hakika na haya anijuze. Nawaza kufungua ofisi ndogo ya kuwa wakala wa hudumu za kifedha kupitia mitandao ya simu, Je, leseni ya biashara inapatikana kwa gharama kiasi gani (Mimi nipo mwanza sijawai miliki hiyo kitu ndo nata kuifuatilia Kisha nisajiri...
Back
Top Bottom