Aliwahi kusema Simba hakuna role model wake na role model wake ni Max Nzegeli
Sasa Nzegeli anatua msimbazi na Chasamvi anatua benchini mpaka mkataba wake huishe,
Sio kwajishuti lile
Baada ya jana Klabu ya Simba kutoa taarifa kuwa mlinda mlango wao, Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Haya ndio majibu ya Tanzania One
"Siumwi chochote, ila wao...
Wakuu
Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport
==
Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
Itachukua muda kwa hii record kufikiwa na vilabu vingine vya Tanzania
Tusisahau pia Manura kaingia kwenye kikosi cha Tz kuchukua nafasi ya A. Salim (kipa wa Simba) ambae alikua akidaka first eleven.
Mlinda mlango wa Simba SC Aishi Manula amejumuishwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi za kuwania kufuzu CHAN 2025 baada ya kukaa nje ya kikosi hiko tangu Machi 2024
Tanzania itaikabili Sudan ugenini Octoba 27 2024 huku mechi ya marudiano itapigwa Benjamini Mkapa Novemba 3 2024...
Hongera sana Simba,timu ya mfano Tanzania na Africa mashariki. Timu wa kipimo Cha timu nyingine,
Timu waanzilishi wengine wanafuata,Timu bunifu,wengine wanafuata,
Timu yenye hadhi inayolipatiaga taifa heshima. Nawaomba sana tumpe heshima Aishi Manula
Aishi Manula ameitoa Simba mbali sana.
Huyu...
Hapo vip!
Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa uongozi dhaifu na wakutojitambua kwenye club ya Simba.
Manula kuna tuhuma za usaliti dhidi ya club...
Ndani ya Miezi miwili kwa Makusudi, kwa Jeuri na Dharau zake aliamua Kuwazimia Simu Viongozi wa Simba SC kila walipomtaka ili wazungumze Mkataba wake. Baada ya kuona Viongozi wa Simba SC nao kumuonyesha Ubaya Ubwela kwa Kutopokea Simu zake na kwa Umafia kumkatalia kwenda kwa Mkopo Azam FC ndiyo...
Simba na Azam ni marafiki wakubwa, wanapeana hadi wachezaji kilaini kabisa. Lakini baada ya goli 5-1 dhidi ya Yanga (sheikh) Simba ikamsukumia zigo lote la lawama Manula. Manula alitaka kutimkia Azam lakini Simba wakamwekea ngumu kwakuwa Inafahamika kuwa Simba iliumia sana kunyang'anywa na Azam...
Niko hapa kuthibitisha kuwa Aishi Manula, golikipa wa Simba SC hatakuwa kipa wa Simba SC msimu huu. Anapelekwa Azam FC Kwa mkopo. Mpango wa Simba SC ni Ayoub Lakred kuwa namba Moja akisaidiwa na Ally Salim.
Meneja wa Golikipa Aishi Manula amesema, Djigui Diarra ni usajili bora zaidi wa Yanga katika mafanikio yao ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu misimu (3) mfululizo"
Jemedari Said amesema hajawahi kuona golikipa bora aliyekamilika katika sanaa ya uchezaji kama Djigui Diarra Tanzania katika misimu (10)...
Mtandao wa Sofascore umetoa ubora wa walinda milango katika hatua ya makundi ambapo mlinda mlango wa Tanzania, Aishi Manula, amefanikiwa kuwa katika namba nne kwa ubora katika orodha ya walinda milango wote walioshiriki katika mechi za AFCON 2023 hatua ya makundi. Orodha kamili iko hapa:
Kipa aliye Fiti 99.9% kwa sasa ni Mwarabu Ayubu Lakred na kutokana na Urababu wake na ikizingatiwa leo tunacheza na Waarabu Wenzake Kiutamaduni na Kinujumu akidaka Yeye atatusaidia na Mechi kuwa Salama zaidi Kesho.
Akidaka tu Aishi Manula ambaye Kiufundi na hata tu kwa Kumuona bado hajawa Fiti...
Golikipa la Caf toka Morocco liko nchini, Ally Salim yuko on fire, Aishi Manula tafuta tumu nyingine, otherwise unaenda kuwa kipa namba tatu pale Msimbazi.
Mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula amefanyiwa upasuaji wa nyama za paja katika Hospital ya Netvare Linksfield 🇿🇦
Kwa mijibu wa daktari wa Simba amesema kwa sasa ni mapema kusema Manula atakaa nje kwa muda gani mpaka pale watakapohudhuria kliniki ya mwisho kesho Ijumaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.