Salaam wakuu,
Binafsi ninaamini Aishi S Manula ndiye mlindalango bora wa kitanzania kwa sasa ila kuna jambo ananikera sana.
HAWEZI KUCHELEWESHA MUDA (nimemuona kwenye michezo mingi ikiwemo wa jana dhidi ya Benin) yani timu yake inaongoza bao moja na imeelemewa muda wote wanashambuliwa wao...