Msingi wa jeshi la polisi imara ni operation ili kudhibidi uhalifu. Ndio maana Makonda kama mkuu wa masuala ya usalama aliamini kwenye operation.
Makonda alimsimamia vyema Igp Sirro wakati huo ni kamanda wa kanda maalumu kuhakikisha uhalifu wa kila aina unatoweka Dar.
Vibaka, wahuni, majambazi...
Msitufanye watoto wadogo eti kakaa tumboni miaka mitatu na anatibu kwa kutumia Sala na maji.
====
‘Mrithi’ Babu wa Loliondo aibukia Rorya
Rorya. Wiki chache baada ya kifo cha Mchungaji Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo, mtoto wa miaka miwili na miezi tisa, Yunis Ogot ameibuka...
Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo.
Mfano Mzuri ni shirika letu la Tanesco Maeneo Mengi watu wanalalamika, likiwemo eneo letu...
Wazungu wana msemo kwamba "some people are so vain that they forget to be clever"
Ndivyo navyowaona Polisi wetu wa Tanzania. Yaani mtu mwenye tuhuma nzito za kutaka kuua viongozi, hadi unamkamata lazima uwe na ushahidi dhidi yake mzito. Sasa iweje unamkamata kwa tuhuma nzito kiasi hicho, halafu...
Moja ya sababu inayofanya wabunge kushangaa sheria au bajeti walizopitisha wao wenyewe ni kwasababu ubunge haujakaa kama taasisi.
Ibara 67 ya katiba ya Tanzania inaeleza sifa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika.Na ibara ya 63 na 64, kazi ya mbunge ni kushiriki kwenye kutunga sheria na...
Yani ukimuangalia humamlizi, kila kilichochake unakiona kizuri, unamuona ni mrembo kuliko wote, tatizo ni kua hizi hisia hazidumu kwa muda mrefu, i wish it could be that, life would be so wonderful.
Binafsi niweke wazi kabisa kwamba napenda kuishi kijamii na wala sinaga tatizo na misiba ila hali ya mbeya imezidi sana
Sasa kwa huku Mbeya hali ya misiba imekuwa tofauti sana, watu hawajali kushiriki kwako msibani hawakwambii hata msiba ulipo mpaka uwauilze na hata hawajali ukaribu wako na...
JIONEE WATU WENYE UWEZO WA AJABU NA KUSHANGAZA
Je, unafahamu kuwa watu wenye nguvu za ajabu kuliko uwezo halisi wa kibinadamu wapo? Ni kweli watu hao wapo na wengine wanaishi hadi sasa. Ni watu ambao wana vitu vya ajabu kama uwezo, nguvu na kuwa imara madhubuti. Wafuatao ni baadhi ya watu hao...
Wadau nahisi huyu Waziri katupiwa hilo Jini angewahi au awahishwe kwa mafundi..
Jini Sakizi ukitupiwa linafanya maajabu ajabu tu yaani mtu akikuudhi unaweza hata muua hapo hapo
Watu waliwahi tupiwa mifano yake kama Ditopile alichukizwa tu na Dereva wa Daladala kusimamisha bus barabarani...
Ndugu zangu haya mambo yanatisha! Twende kwenye mada.
Huyu mtu nimelalae kitanda kimoja, mida ya 8 usiku ni kama alikuwa akiongea na mtu kwa lugha ya mabishano. Nimestuka kuomuona akilia usingizi, kilio kisicho na machozi ila chenye uchungu na malalamiko.
Nilishindwa kulala, hii maana yake...
Leo hii mwenyekiti wa maisha wa chama kilichowai kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania ameanza kuzunguka nchi nzima eti kuimiza ujenzi wa ofisi za chama katika wilaya, makata na matawi, wakati ofisi ya makao makuu wanakaa katika kaofisi ka kupanga ka aibu pale Ufipa.
Mambo ya ajabu sana.
Kwa...
Wiki iliyopita Wabunge wa Bunge la Tanzania walichanga michango ya rambirambi na kumpa mwenzao aliyekuwa anaiba mume wa mtu na kusababisha matatizo makubwa kwa familia hiyo ikiwemo kutishia ndoa kuvunjika.
Catherine Magige alikuwa ni mwizi wa mume halali wa Aziza Msuya hivyo Bunge likiwa kama...
Jamani embu tuambieni Kati ya vilevi hapo Chini ukimuona mtu anatumia huwa una muona wa ajabu sana yaani hajitambui(hopeless and useless man).
1. Ugolo
2. Gongo
3. Bhangi
4. Mirungi
5. Konyagi na Valeur bila kusahau K vant
6. Mataputapu mengine(ulanzi, kindi, viduchu, kimpumu, kimono n.k)...
Mawasiliano ni nyenzo moja nzuri na muhimu kwa wanandoa. Iwe umesoma au haukusoma, uwe kijijini au mjini, uwe na hela nyingi au chache lakini huwezi kosa kabisa. Hebu tafakari, unaoa ama kuolewa na mtu mmnayependana.
SASA UKIWA UNATAKA WASILIANA NA MWENZIO INABIDI UPIGE KWA JIRANI, NDO...
Habari za wakati ndugu zangu wapendwa;
Andiko langu hili ninaliandika katika hali ya furaha na huzuni kwani najua kwamba kila atakaeseoma atatoa na tafakari yake.
Mimi ni Mtanzania ambaye kwa kiasi fulani huwa ninafuatilia siasa na uchumi wa nchi yetu.Kwa kipindi cha zaidi ya Miaka 30...
Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge.
Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
ajabu
bado
bunge
chanzo
dhaifu
dikteta
jibu
kali
katiba
kiburi
kiongozi
lema
maendeleo
maisha
majanga
mama samia
mgonjwa
mmoja
msamaha
mungu
mwaka
namna
nchi
ndugai
onyo
samia
serikali
sheria
siasa
spika
spika ndugai
tabia
taifa
tanzania
uganda
wake
wako
wananchi
Beki wake mahiri kabisa wa katikati kwa wakati huo,na akiwa beki pekee tegemezi wa Taifa Stars Ndugu George Masatu akiwa na Timu ya Taifa alimdhibiti vilivyo mchezaji hatari Kabisa Afrika na Duniani akiwa na Timu yake ya Taifa huko kwao Liberia ndugu George Opong wear.
Wakati huo George Wear...
Wanabodi,
Makala za Kwa Maslahi ya Taifa na Pascal Mayalla
Naendelea na Makala zangu ziitwazo Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la kila siku za Jumatatu. Hizi Makala zitafuatiwa na Kipindi cha TV chenye jina hilo hilo ambacho kitaanza kutoka kwenye vituo...