ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jackwillpower

    Biblia, kitabu cha ajabu maishani mwangu

    “Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Tazama, mambo ya kwanza yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari zake.” Isa. 42:8,9. “Kumbukeni mambo ya zamani za kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana...
  2. Mawematatu

    Kuna watu wa ajabu sana...Jinsia Ke inamambo....

    Niende kwenye mada Moja kwa moja.....ndg kama Ilivyoandikwa ishini nao kwa akili. Katika suala hili kiumbe Ke anamambo ya ajabu na mwanaume wkt wote anamchwnganya sana. Siwez kuamini mambo ya ndoa ya mtu wanaolala au waliozaa pamoja kuanika mambo ya ndani kai's hiki... Wanaume Wajue mambo...
  3. muafi

    Kama hii ni kweli, basi mikopo ya awamu ya tano ilikua ya ajabu sana, ukweli ndio unajulikana sasa

    Hiki ni kichekesho, inamaana hata reli yenyewe haijakamilika tayari mkopo wake umeshaanza kulipwa? hivi vitu walikua wanafanya wasomi au?
  4. Suzy Elias

    Kama Nchi tusilale hasa vyombo vyetu vya huyo dogo anajitanua kwa kasi ya ajabu

    Andiko hili na walione wahusika. Pamoja na siasa zetu za kunyukana mara Sukuma gang,Msoga na wana kuupiga mwingi lakini kama Nchi tutambue tunalo tishio lililo bayana kabisa la yule 'dogo' naamini wengi mmenielewa hakika anakuja juu sana kimedani. Si wa kupuuzwa tena! Amewekeza sana kwenye...
  5. Quavohucho

    Uliwahi kuona nini? Kwenye simu ya mtu, mke au ndugu cha ajabu

    Moja ya faragha kubwa y mtu ni simu, inavitu vingi ambavyo ni personal zaidi lakini kwa namna flani unaweza kuta ume access simu ya mtu anaweza kuwa mke jirani,rafiki, je uliwahi kuona nni cha kushangaza Mm kipind nipo o level kuna mdada wa chuo alikuwa analeta kisimu( tecno button)nmchajie...
  6. Priscallia

    Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

    Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja. Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine. Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila...
  7. Mzalendo Uchwara

    Watanzania wamezoea unafiki na siasa za ki malaya malaya, sio ajabu wanawashangaa CHADEMA

    Watu wengi, wakiwamo wanasiasa na wasomi, wamewajia juu CDM baada ya chama hicho kumshukia kama mwewe Zitto Kabwe baada ya yeye kumwombea msamaha Mwenyekiti wao kwa rais kwamba afutiwe kesi. Hili kinadhihirisha kiwango cha juu cha unafiki na umalaya malaya wa kisiasa wa watanzania, wengi...
  8. mbenge

    Kitu cha ajabu chaonekana kikiwa angani jana jioni

    Sijui ni mimi pekee yangu na jirani zangu wawili ambao ndiyo tulikishudia chombo hicho, ama ilitokea pia kwa watu wengine. Ilikuwa jana yapata saa moja jioni, giza ndiyo kwanza limeingia, ile tu natoka nje ya geti la uzio wa nyumba yangu kwenda club kuangalia pambano la soka kati ya Liverpool na...
  9. Uhuru n Umoja

    Safari ya Egypt kwa Mkandarasi mkuu, mgao wa ajabu wa umeme na maji

    Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia. Je, ni kweli ndicho wanacholenga kufanya??
  10. J

    Mzee Warioba: Miaka 60 ya Uhuru tunaanza kurudi kule kule kwenye matabaka ya Waheshimiwa na Makabwela!

    Akizungumza kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, makamu wa kwanza wa Rais na waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba amesema taifa limeanza kurudi kwenye matabaka ya Waheshimiwa na Makabwela. Amesema waheshimiwa zamani waliitwa Wa Benz Au matabaka ya Raizoni na Kandambili Jaji Warioba amesema hata...
  11. sirluta

    Hivi wabunge wa CCM mnajisikiaje, wananchi hawafuatilii Bunge wanafuatilia kesi ya Mbowe?

    Tuelekee moja kwa moja kwenye swali la msingi. Miaka ile bunge lilipokuwa limechangamka ndipo yakaibuliwa maovu ya serikali watu walikuwa wanaahirisha shughuli zao wanafuatilia bunge. Leo hii sijui bunge halina mvuto, wananchi wanaahirisha shughuli zao wanafuatilia kesi ya akina Mbowe kama...
  12. Jumbe Brown

    Manyerere Jackton: Kila ukikutana na Mwalimu Nyerere unahisi nguvu fulani ya ajabu

    Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu. Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya kipekee ya Mtanzania huyo..... Anasema kuwa pamoja na ucheshi na misimamo aliyokuwa nayo bado...
  13. SAYVILLE

    Kwanini vitu vyangu vinapotea katika mazingira ya ajabu?

    Wakuu, Kuna mambo ambayo nimekuwa napambana nayo kwa muda mrefu sana katika maisha yangu. Nimejaribu njia nyingi, hasa za maombi hadi chumvi. Wakati mwingine naona kuna unafuu unakaribia kuja halafu ghafla narudi kule kule. Niliwahi kuleta uzi humu kuelezea hali yangu. Kwenye masuala ya...
  14. M

    Kwanini haya maeneo kwa Wilaya ya Kinondoni ni Kivutio cha Ajali mbaya na za Ajabu ambazo huwa hazijeruhi tu bali huua kabisa Wahusika?

    1. Kipande cha Mikocheni B kwa Warioba hadi njia panda ya Clouds au Coca Cola 2. Supa Lugalo 3. Bondeni Kawe 4. Makonde 5. Kona ya Goba ukimaliza lilipo Kanisa Katoliki 6. Afrikana 7. Mbuyuni njia panda kuelekea Kunduchi, Bahari Beach na Ununio Na kwa Taarifa tu haya maeneo yote tajwa...
  15. EL ELYON

    Nilimfadhili huyu mwanamke lakini aliyoyatenda ni ajabu

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA mbinguni hakuna laana huu yenu. Wakati NIPO chuo mwaka WA Kwanza nilipata mawasiliano na dada mmoja wa kiha ambaye tulipotezana tukiwa a level alihama shule nilitokea kumpenda. Ila ye alikuwa chuo kingine mkoa mwingine AMBAKO huko alipokuwa ndo kulikuwa...
  16. MSAGA SUMU

    Baada ya mauaji ya ajabu kutokea Kangaye Mwanza, sasa wananchi kufunga siku tatu mfululizo

    Baada ya watu watatu kufariki wakati wa mazishi na hivyo kusababisha misiba kufika minne, wakazi wa Kangaye Mwanza wameamua kufunga kwa siku tatu mfululizo kuomboleza misiba hiyo pamoja na kuombea amani katika eneo lao. Itakumbukwa siku sio nyingi wakati mazishi yakiendeleaa, mtu mmoja alitoa...
  17. P

    Je, moto wa ajabu ardhini rombo ni dalili za kulipuka volcano iliyolala ya mlima Kilimanjaro?

    Kwa wakaazi wa Wilaya ya Rombo na maeneo mengine yote kuuzunguka mlima Kilimanjaro chochote kinachotokea kuhusiana na Mlima huu ni lazima kiwaguse moja kwa moja kutokana na maisha yao kutegemea miteremko yake kwa maelefu ya miaka iliyopita. Ingawa uwezekano wa Volcano ya mlima huu kulipuka...
  18. Lycaon pictus

    JF ina watu wa ajabu sana.

    Kuna watu wanapita JF unabaki kujiuliza ni watu wa aina gani. Kuna huyu mwamba alitokea. Kila akianzisha uzi anaanza na "Mimi ni yule kijana ambaye nimetahiriwa hivi karibuni😀😀" sijui alikuwa akiwaza nini na sijui alipotelea wapi yule mwamba.
  19. Kichuguu

    29 Februari: Tarehe ya ajabu kwa birthday

    Tarahe 29 February hutokea mara moja kila baada ya miaka minne. Sasa basi kama utazaa mtoto siku hiyo, ina maana mtoto huyo atakuwa na birthday celebrations mbili tu kabla ya kuwa teenager, na inaweza kumuathiri kisaokolojia iwapo ataona wenzie wana birthday parties kila mwaka na yeye inabidi...
  20. platyhelminthesis

    Ni sharti gani la ajabu umewahi kupewa na mwenye nyumba wakati umepanga au unatafuta chumba?

    Asee mimi sharti la kijinga lilikua ni kusema kama unataka kuongeza mkataba wa kupanga miezi miwili kabla ya muda kuisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom