Habari zenu wakuu
Hivi nmekua nikijiuliza sana ni hali ya hewa ndio inapelekea watu kuumwa sana sasahivi au ni nini??
Maana nmekua nikishuhudia watu wangi wakikohoa sana ambapo hali hii yakukohoa wengi wamekua wakieleza kua huwakuta sana ifikapo mida ya saa 12 jioni ambayo huwafanya hata...
Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno.
Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.
Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa...
Serikali imedai Mlipuko wa kwanza wa COVID-19 ulianza baada ya Wagonjwa kugusa "Vitu vya ajabu" (Alien Things).
Imeripotiwa kuwa, Uchunguzi uliwabaini watu wawili waliopata maambukizi mwanzoni mwa mlipuko huo baada ya kushika vifaa visivyojulikana karibu na mpaka wa Korea Kusini.
Japokuwa...
Yuko radhi kufa kwa ajili yangu
Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi.
Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms😅😅😂😂 nikakwepa
Nishamwambia sina maisha ya kumfanya aishi katika ndoa ila anataka tu aje hata tukilala chini ya mti, poa tu...
Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu...
HATIMAYE KABURI KATIKATI YA BARABARA BARIADI LAONDOLEWA.. FAMILIA YARIDHIA YAKUBALI YAISHE
Zoezi la kuhamisha kaburi likiendelea
===
WIKI Moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kuagiza kuondolowa kwa Kaburi lililokuwa katikati ya Barabara ya Nkindwabiye-Halawa, Familia ya Saguda...
Korea Kaskazini inapambana kudhibiti mlipuko wa ugonjwa "mbaya" wa matumbo ikiwa ni mwezi mmoja baada ya nchi hiyo kukumbwa na mlipuko wa maambukizi ya COVID-19.
Vyombo vya habari havijaweka wazi taarifa zaidi kuhusu ugonjwa huo lakini Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ametuma timu ya...
Kuna jamaa yangu alikuwa na demu wake mzuri kweli, ila demu akasema hataki sex mpaka waoane.
Jamaa yangu akaona sio hiyana akaamua kumwoa, sasa katika usiku wa fungate wakiwa huko Kruger national park si ndio kumbananisha demu atoe mzigo, katika purukushani ya vuta nikuvute kamvua demu!
Duh...
Rangi aina nne au Tano zitasaidia kuepuka maajabi ya rangi za ajabu. Lkn lazima Kuna rangi za Kupiga marufiku kitumia.
Kwa mfano. Black
Lazima nyumba zitapendeza.
Angalia nyumba za bongo zingependeza Sana kama wangepewa option.
Huu mji una mademu wazuri kiasi si sana
Mademu wakali either wanaasili ya Musoma au Kagera ambayo ni mikoa jirani. Mademu wa Mwanza wako vizuri katika kugawa namba ya simu ila cha ajabu hawajui umuhimu wa simu, demu ukimuomba namba hakatai ila sasa ujue utapiga sana simu hutapokelewa.
Mbinu...
Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
'Kumbuka jambo moja, hakuna mtu ambaye siwezi kumnunua au kumharibu nikitaka.'
Haya ni maneno ya mfanyabiashara tajiri zaidi Marekani wakati mmoja. Jina lake ni Howard Hughes na ulimwengu unamfahamu sio tu kama mfanyabiashara wa viwanda, mtafiti, mtengenezaji wa filamu, shujaa wa zama mpya...
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movies utagundua jambo hili. Movie au vipande vingi vya sinema vinavyohusu nchi zisizo za kimagharibi utakuta wameweka rangi kama kuna vumbi vumbi😀. Hivi huwa wanatuonaje? Mfano huu hapa chini
Moja ya picha ya kipande toka kwenye kampuni kubwa ya kutengeneza...
Katika Mambo tuliyopumbazwa na mabeberu ni kuacha shughuri za uzalishaji na kutegemea kukusanya Kodi Pekee Hilo kosa kubwa Sana na ,tunatakiwa kubadilisha mind set zetu Mambo mengine ni mtambuka siyo Kila kitu sekta binafsi, project ya baharini kuvuna Gesi inagharimu Kama trillion 7 lakini...
Nchi hii tumezoea kuona watu wanasoteshwa lumande kwa kisingizio cha upelelezi haujakamilika. Na kwa kesi za muaji ndo kabisaa unaweza kaa hata miaka mitano mtu hajui hatima yake. Leo hii eti nao wanalalamika upelelezi kuchelewa.
Malipo ni hapa hapa duniani.
Kwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu...
Wanakijiji wa kijiji cha kiwawa kilichopo Arumeru wamelazimika kuvaa ndoo na kofia ngumu vichwani kufuatia mawe yanayorushwa usiku na mchana pasipo kujua mawe hayo Yanatokea wap.
Aidha wanakijiji hao wameshindwa kufanya shughuli zao za Kila siku zikiwemo za kujiingiza kipato kutokana na hofu...
Unaweza kuwaita chawa,wanaa,wambeya na jina lolote fanani nalo.
Picha hapo juu ni Mwijaku na Baba Levo vijana maarufu kwa sasa hapa Tanzania hasa kwenye tasnia ya sanaa.
Kinachonivutia kwao ni namna wanavyoisaka shilingi pasi na kujali kuitwa majina tajwa hapo juu bali wao wanajali...
Kwa mara ya kwanza nimeona kiumbe wa ajabu, anaitwa "AXOLOTL"
Naombeni maelezo ya kiswahili kumuhusu.
Kwa haraka haraka nimesikia ukimkata kiungo fulani cha mwili (mguu etc), eti kinaweza kuota kingine baada ya muda fulani.
Kama hilo ni kweli kwanini wana sayansi wasifanye sayansi zao...
mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin
Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.