ajali ya gari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. hydroxo

    Ajali ya gari Bagamoyo

    Wakuu leo kumetokea ajali mbaya sana Bagamoyo. Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajari hii atujuze. === Coaster inayofanya safari zake kutoka Bagamoyo kwenda Morogoro, imepata ajali kwa kugongana na Canter katika kijiji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo asubuhi ya January 8, 2023. Watu watano...
  2. Sildenafil Citrate

    Manyara: Ajali yaua watumishi watatu wa TANESCO

    Watumishi watatu wa TANESCO mkoa wa Manyara, Loren Materu, Emmanuel Thobias na Nassoro Mtime wamefariki dunia baada ya gari lao kugongwa la lori linaloaminika kuwa lilipata hitilafu kwenye breki. Aidha, watu wengine watatu wamepelekwa hospitali baada ya kupata majeraha. Swahili Times
  3. BARD AI

    Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

    Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake. Alisema...
  4. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Singida: Watu 6 wafariki kwa ajali ya gari

    Ajali mbaya iliyo husisha gari dogo aina ya Raum imetokea wilayani Mkalama katika mkoa wa Singida. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi. Mzee Kinana nilikwambia kupitia uzi fulani hapa, kazi iendelee. ======== Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum...
  5. I

    Mkono kupoteza hisia baada ya ajali ya gari

    Habari za mida hii. Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini na mfupa wa juu). Akawekewa POP kwa wiki sita, ila mpaka sasa mkono huo wa kulia hawez...
  6. JanguKamaJangu

    Wanafunzi watatu UDOM wafariki katika ajali ya gari

    Wanafunzi watatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamefariki Dunia na wengine watano wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Juni 4, 2022 jioni katika moja ya barabara zilizopo chuoni hapo. Ofisa Uhusiano wa chuo hicho, Beatrice Baltazar amesema ajali hiyo imetokea jana Juni 4, 2022 saa...
  7. Suley2019

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi apata ajali ya gari

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Bombo baada ya kupata ajali ya gari katika Barabara ya Tanga- Segera eneo la Hale Wilayani Korogwe. Kaimu RPC wa Tanga, David Mwasimbo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo "Ajali imetokea usiku wa...
  8. BigTall

    Staa wa Bongo Muvi, Pastor Myamba apata ajali ya gari

    Emmanuel Myamba almaarufu Pastor Myamba; ni staa mkongwe wa Bongo Movies ambaye alikuwa muigizaji mwenza katika filamu nyingi za marehemu Steven Kanumba. Pastor Myamba amedhibitisha kupata ajali mbaya wikiendi iliyopita ila wakapona bila majeraha mabaya. Pastor Myamba ambaye wengi wanamfahamu...
  9. 666 chata

    Namna nilivyonusurika kufa kwenye ajali ya gari, Bongo unakufa huku unajiona

    Kwema wadau? Mwaka huu mwanzoni nikiwa nimetoka kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya na nikiwa nimefanya maombi ya mipango yangu mingi kwa mwaka huu na kumsihi sana Mungu wangu aliye hai anijalie afya, uhai, furaha na amani tu mengine nayaweza hayanisumbui kabisa, basi sikuwa najua siku chache...
  10. EINSTEIN112

    TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

    Mtoto wa kwanza wa marehemu Balozi Augustine Mahiga aitwaye Mikola Mahiga, maarufu kama "Mike" amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Geneva, Uswiss alipokuwa akifanya kazi katika Taasisi mbalimbali za Kifedha na Masoko ya Mitaji akiwakilisha nchi kadhaa za Asia na Afrika. Mikola Mahiga...
  11. M

    Ajali ya gari Mkuranga

    Habari Wanabodi kuna ajali ya gari imetokea usiku wa kuamkia leo barabara kuu ya Kilwa eneo la Mkuranga kijiji cha Dundani ambapo semi la Dangote limegongana uso kwa uso na gari la Tanesco Mkuranga na kusababisha vifo kwa watu 4 sikufanikiwa kupata picha but poleni wafiwa na update zaidi atujulishe.
  12. Linguistic

    Morogoro: Watu 5 wapoteza maisha, wengine 24 wajeruhiwa katika ajali ya gari

    Wakuu, huko Morogoro wakwetu adv. Msando kaanza na simanzi, eneo la Oilcom ajari mbaya imetokea Coaster inatokea Dar ikiwa na abiria na lori la mizigo zimegongana uso kwa uso kwenye Coaster. ===== Watu watano wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la...
Back
Top Bottom