ajali ya helikopta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
  2. JanguKamaJangu

    TANZIA Sebastián Piñera: Rais wa zamani wa Chile afariki katika ajali ya helikopta

    Rais wa zamani wa Chile, Sebastián Piñera aliyehudumu kwa mihula miwili na Mfanyabiashara Bilionea, amefariki katika ajali ya helikopta akiwa na umri wa miaka 74. Watu wengine watatu waliokuwa ndani ya ndege hiyo walinusurika ilipoanguka katika ziwa karibu na mji wa kusini wa Lago Ranco...
  3. Pascal Mayalla

    Je, ajali Iliyosababisha kifo cha Shujaa wetu, Deo Filikunjombe, ni ajali ya Mungu au ya shetani?

    Wanabodi, Preamble! Kifo chochote kinapotokea, tumekuwa na tabia ya kujifariji kuwa kila kifo kimepangwa na Mungu, na kilikuwa kitokee tuu hivyo hivyo kilivyotokea, na ile siku binadamu ameumbwa, maisha yake yote yaliisha pangwa, hadi saa yake ya kufa, na atakufa kifo gani, hivyo hiyo saa ya...
Back
Top Bottom