ajali ya helikopta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mtalii kutoka India afariki Dunia katika ajali ya Helikopta Nepal

    Helikopta mbili zimegongana wakati zikijiandaa kutua katika eneo la Mlima Everest nchini Nepal. Mtalii mmoja kutoka India amefariki dunia, huku raia mmoja wa New Zealand akiokolewa baada ya ajali hiyo. Ajali hiyo imetokea wakati huu ambao ni msimu wa kilele wa watalii wanaokwenda kufanya...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi halina taarifa ya kifo cha Mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mke wake waliofariki kwenye ajali ya Helikopta Jana!

    Habari picha hizi hapa! Gazette la Mwananchi wao hawana habari hizi!
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Ujasusi wa Ecuador Miongoni mwa Waliofariki Katika Ajali ya Helikopta Samburu

    Maelezo zaidi yameibuka kuhusu watu saba waliofariki katika ajali ya helikopta karibu na Mlima Ololokwe, Samburu, huku ikibainika kuwa Mkuu wa Ujasusi wa Ecuador Michele Sensi-Contugi na mkewe Stephany Vásconez walikuwa miongoni mwa wahanga. Sensi-Contugi, mwenye umri wa miaka 44, alikuwa...
  4. Inevitable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Ecuador na Mkewe Wafariki Kwenye Ajali ya Helikopta

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama na Ujasusi ya Ecuador (CIES), Michele Sensi-Contugi, pamoja na mkewe Stephany Hollihan, ni miongoni mwa watu saba walipoteza maisha kufuatia ajali ya helikopta iliyotokea eneo la Mlima Ololokwe, Kaunti ya Samburu nchini Kenya. Vyombo na Eneo: Helikopta aina...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Ulinzi na Mazingira Ghana Wafariki Katika Ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Mawaziri wa Ulinzi na Mazingira wa Ghana wamefariki katika ajali ya Helikopta ya Kijeshi katika eneo la kati la Ashanti, pamoja na watu wengine sita. Mkuu wa Majeshi Julius Debrah aliuambia mkutano na Waandishi wa habari kwamba Waziri wa Ulinzi Edward Omane Boamah na Waziri wa Mazingira...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sebastián Piñera: Rais wa zamani wa Chile afariki katika ajali ya helikopta

    Rais wa zamani wa Chile, Sebastián Piñera aliyehudumu kwa mihula miwili na Mfanyabiashara Bilionea, amefariki katika ajali ya helikopta akiwa na umri wa miaka 74. Watu wengine watatu waliokuwa ndani ya ndege hiyo walinusurika ilipoanguka katika ziwa karibu na mji wa kusini wa Lago Ranco...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, ajali Iliyosababisha kifo cha Shujaa wetu, Deo Filikunjombe, ni ajali ya Mungu au ya shetani?

    Wanabodi, Preamble! Kifo chochote kinapotokea, tumekuwa na tabia ya kujifariji kuwa kila kifo kimepangwa na Mungu, na kilikuwa kitokee tuu hivyo hivyo kilivyotokea, na ile siku binadamu ameumbwa, maisha yake yote yaliisha pangwa, hadi saa yake ya kufa, na atakufa kifo gani, hivyo hiyo saa ya...
Back
Top Bottom