Gazeti la Mwananchi halina taarifa ya kifo cha Mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mke wake waliofariki kwenye ajali ya Helikopta Jana!

Gazeti la Mwananchi halina taarifa ya kifo cha Mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mke wake waliofariki kwenye ajali ya Helikopta Jana!

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
18,223
Reaction score
31,465
Habari picha hizi hapa!
Gazette la Mwananchi wao hawana habari hizi!
 

Attachments

  • 20260930_221723.jpg
    20260930_221723.jpg
    57.6 KB · Views: 10
  • Screenshot_20261001_051026.jpg
    Screenshot_20261001_051026.jpg
    225.4 KB · Views: 9
  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    1.2 MB · Views: 8
  • IMG-20260930-WA0065.jpg
    IMG-20260930-WA0065.jpg
    156 KB · Views: 6
  • IMG-20260930-WA0066.jpg
    IMG-20260930-WA0066.jpg
    159.2 KB · Views: 8
  • IMG-20260930-WA0064.jpg
    IMG-20260930-WA0064.jpg
    53.5 KB · Views: 7
Gazette la Mwananchi wao hawana habari hizi!
Kwenye media, kuna kitu kinaitwa editorial independence, kila chombo kiko huru kuandika kipi kwake ni habari na kipi sii habari hata kama ni kweli kimetokea, hivyo Chivayo anaweza kuwa habari kubwa kwako lakini kwa mwingine he is nobody!.

Tusiingilie media nini ni habari na nini si habari!.
Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.

Mimi nilimuanzishia nyuzi mbili humu
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale

Japo huyu Bonge, hakuwa Mtanzania, lakini alikuwa rafiki kipenzi na mtu wetu, rafiki na mtu wetu ni rafiki yetu, mtu wetu akifiwa na rafiki yake ni sisi tumefiwa na rafiki yetu!.

Nichukue fursa hii kutoa pole kwa mtu wetu,
Watanzania Tunamlilia!

Rip Bonge za Zimba

Mzee Pasco.
 
Back
Top Bottom