ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watu wa 3 wafariki Mtwara ajali ya lori na bajaj

    Watu watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori, bajaj na pikipiki, iliyotokea leo, Novemba 3, 2026, majira ya saa tatu asubuhi eneo la Magomeni Kanisani, Manispaa ya Mtwara-Mikindani, Mkoani Mtwara. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Kamishna Msaidizi...
  2. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ajali za mara kwa mara barabara ya Kimara–Kibaha, Serikali iweke Speed Cameras na kudhibiti mienendo ya malori na mabasi kabla maisha zaidi hayajapote

    Natoa wito kwa Wizara ya Ujenzi, TANROADS, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na mamlaka nyingine zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara ya Kimara–Kibaha. Licha ya barabara hii kuwa ya kisasa yenye njia sita, hali ya usalama kwa watumiaji...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hii ajali ya New Force Dereva kaumbuka Chalinze. Atajiteteaje?

    Wakuu, Dereva ajiteteeje? Napingana na wanaosema alikuwa kalewa
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazazi zuieni ajali nyingine kwa watoto wenu tarehe 29 Oktoba, 2026

    Nilitembea usiku kucha kwenda Mbeya kumwambia mwanangu acha kushiriki vurugu siku ya uchaguzi. Na hii ni baada ya kutonywa na mkewe kuwa mumewe (mwanangu) anasema anataka kushiriki vurugu zinazoandaliwa siku ya uchaguzi. Saa 8 usiku nilifika Mbeya nikalala kwenye gari asubuhi sana wakashangaa...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo

    Viongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila Hakuna aliumia wala kufariki dunia
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

    Alhamdulilah nimetoka salama nimepata mikwaruzo kidogo kwenye mikono na mguu wa kushoto niliubamiza unauma kimtindo. Dah niliona kabsa kifo hichi hapa ila maisha yamenipa another chance. God did!!
  7. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Takriban mwaka moja tangu treni ya SGR ipate ajali Ruvu, ila hakuna taarifa rasmi ya chanzo, harasa wala hatua zilizochukuliwa

    Oktoba 23, 2025, treni ya SGR ya mchongoko (EMU) iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ilipata ajali katika eneo la Ruvu. Jambo la kufurahisha ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha, ingawa ajali hiyo ilisababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu, ikiwemo reli na njia za umeme...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kupunguza ajali

    Naona uchumi unapanda, magari yanaongezeka kila kukicha ILA miundo mbinu ya barabara kwenye HIGHWAY ni ileile wa miaka ya nyuma. 1. Tuanze sasa kufikiri kuwa na barabara za 4ways kwenye highway (Ulaya tayari wana 4ways, 6ways na hata 8ways; sisi bado tunakomaa na 2ways (2G). Ulaya hata sheria...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ukipona katika ajali ni muujiza au siku yako ya kufa haijafika?

    Mimi nafikiri kupona katika ajali ni bahati tu. Inategemea ulipokaa, ukubwa wa ajali, jinsi ajali ilivyotokea na huduma ya kwanza na matibabu baada ya ajali.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wasafi fm: Tunashangaa ajali imeua watanzania wenzetu 32 hakuna hata mtu amewajibika tuko bize na simba na niha huku Rais akiishia kusikitika!!

    Ni watangazaji wa kipindi cha good morning wwameongea kwa hisia sana na kushangazwa kwamba licha ya kutokea tatizo kubwa ambapo watanzania wenzetu 32 wamefariki kwa ajali mbaya Moro alafu hakuna anayewajibika Badala yake watanzania na vyombo vya habari wako bize kujadili ushindi wa simba na...
  11. plock

    JamiiForums Tanzania WAZO LA KUPUNGUZA AJALI ZA OVERTAKING

    Ninashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja. Dereva anapowasha indicator ili ku overtake, kifaa kitambue kama kuna gari linalokuja kutoka upande wa pili, kwa mfano...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tujenge separate roads za malori na mabasi, gari ndogo etc. Ajali za Morogoro wala hakuna funzo tunalolipata. Pendekeza suluhisho!

    Hivi hatuwezi kweli kujenga barabara za malori tu angalau several kilometers from town center yachepuke kuepukà msongamano na kuleta àjali. Casual observation inaonesha kuwa ajali mbàya zinatokea several, 10, 15, 20 kms kutoka mjini centre....... Morogoro pamekuwa machinjioni ya maisha ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  14. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Wazo: Kuthibiti ajali magari kugongana,tutumie 2+1

    Ndugu wanabodi. Nimefikiria mbinu inayoweza punguza sana ajali za magari kugongana hasa katika Barbara zetu kuu. Hapa chini ni mapendekezo ambayo nafikiri yakitumiwa na Tanroad,Serikali kuu na polisi kuna uwezekano mkubwa kupunguza hizi ajali. Mfumo wa 2+1 ni nini. Mfumo wa 2+1 Road System...
  15. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania IKULU hamna taarifa ya pole ya MSIBA mkubwa ajali MOROGORO! Je Tueleweje

    Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30 Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika? RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Watawala wametoa pole kwa Wicknell Chivayo lakini wameshindwa kutoa pole ajali iliyoua Watanzania 30

    Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika. Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya kusafirisha abiria usiku kusitishwa? Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

  18. A

    JamiiForums Tanzania Kama Vichwa Vya Wicknel Chivayo na mkewe havikupatikana haiwezi kuwa Hawakuwemo kwenye Ajali

    Familia imethibitisha kwamba Vichwa Vya Marehemu Chivayo na Mkewe havikupatikana eneo la ajali, je sio uthibitisho wa kuthibitisha kwamba Hawakuwemo kwenye hiyo Ajali.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ajali za malori nyingi zinahusha gari za kichina

    Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo fanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea ya madereva au hizi gari za mchina Zina shida. Serikali wamefuatilia hili kujua Kwa nini gari za mchina...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nimeota Kiongozi au mtoto wa kiongozi Fulani kupata ajali ya ndege

    Hii ndoto imekuwa ikinijia sana mara nyingi kuwa kiongozi au familia ya kiongozi fulani ikiwa imepata ajali.
Back
Top Bottom