Watawala wametoa pole kwa Wicknell Chivayo lakini wameshindwa kutoa pole ajali iliyoua Watanzania 30

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
819
Reaction score
1,093
Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika.

Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua watu zaidi ya 30, hakuna hata anayejali wala kutoa pole.

Awamu ya Sita imejaa laana. Viongozi walozoea kumwaga dammu, hawashitushwi na Wanananchi wao kufa.

Watu 30 wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa limebeba miti aina ya milunda na basi la abiria lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Joseph Mwasabeja, ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, eneo la Mkambarani, barabara ya Morogoro-Dar es Salaam.
Screenshot_20261009_140535_WhatsApp.jpg
 
Na kwa namna hiyo wote wamwagao damu na kutothamini uhai wamelaaniwa.
 
Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika.

Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua watu zaidi ya 30, hakuna hata anayejali wala kutoa pole.

Awamu ya Sita imejaa laana. Viongozi walozoea kumwaga dammu, hawashitushwi na Wanananchi wao kufa.

Watu 30 wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa limebeba miti aina ya milunda na basi la abiria lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Joseph Mwasabeja, ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, eneo la Mkambarani, barabara ya Morogoro-Dar es Salaam.
Kwani ishapita 24hrs? Mbona mna chuki sana nyie wafuasi wa Kittima?
 
Inasikitisha sana,binadamu sisi ni wanafiki wa kiwango cha lami.

Ukiona mwanasiasa anapiga debe ujenzi wa barabara basi jua ni mnufaika either ana maslahi ya 20% au nyumba yake ipo karibu na barabara so wakipiga lami itaongezeka thamani.
 
Kwani ishapita 24hrs? Mbona mna chuki sana nyie wafuasi wa Kittima?
Kwa Chivuyo pole iliyoka ndani ya masaa mawili. Lakini kwa Watanganyika 30 pole tusubiri masaa 24. Una akili timamu? Yule Hafidh alipokufa, alizikwa ndani ya masaa 8. Mbona hukuhoji saa 24? Yaani kwa Teknolojia ya saa kwamba hawajapata taarifa? Sema wanatuona kama Mang'ombe tu.. Nobone cares
 
Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika.

Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua watu zaidi ya 30, hakuna hata anayejali wala kutoa pole.

Awamu ya Sita imejaa laana. Viongozi walozoea kumwaga dammu, hawashitushwi na Wanananchi wao kufa.

Watu 30 wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa limebeba miti aina ya milunda na basi la abiria lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Joseph Mwasabeja, ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, eneo la Mkambarani, barabara ya Morogoro-Dar es Salaam.
View attachment 3687402
ok.🐒
 
Attachments

  • Screenshot_20261009_164209_Instagram.jpg
    Screenshot_20261009_164209_Instagram.jpg
    188.4 KB · Views: 10
Samia hadi akosolewe ndo atekeleze. Baada ya kuona bandiko akaagiza pole itolewe. Kwanini asingesema kabla ya mtu kuanzisha thread. Ajali imetoa usiku pole inatolewa Jioni. Wakisubiri nini kutoa pole. Hadi watu wawaseme ndo wafanye?
 
Serikali sikivu ya CCM,
haiwezi kubabaika na porojo au mihemko ya wadau wa Jf, badala ya kufanya kila linalowezekana kusaidia majeruhi na kuwasitiri kwa heshima waja wa Allah, waliotangulia mbele ya haki.

Serikali sikivu ya CCM,
itatoa taarifa kwa umma kwa wakati na muda muafaka bila kujali wafuata mkumbo wanadanganyana na kupotoshana nini wakati gani, mpaka kwanza ihakikishe majeruhi wote wanapata huduma stahiki, lakini pia waliopoteza maisha wanahifadhiwa kwa heshima kama wanadamu.

So,
gentleman,
just relax na uwe calm kidogo na itapendeza zaidi, okay ?🐒
 
Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika.

Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua watu zaidi ya 30, hakuna hata anayejali wala kutoa pole.

Awamu ya Sita imejaa laana. Viongozi walozoea kumwaga dammu, hawashitushwi na Wanananchi wao kufa.

Watu 30 wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa limebeba miti aina ya milunda na basi la abiria lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Joseph Mwasabeja, ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, eneo la Mkambarani, barabara ya Morogoro-Dar es Salaam.
View attachment 3687402
Inasikitisha sana, pole nyingi kwa Watanzania wenzangu, Ndugu, Jamaa na Marafiki. Tunawaombea faraja kuu katika hili janga.
 
Hii inaonesha ni namna gani serikali haramu ilivyo na mihemko...kama waliamua kukaza bila kutoa salam za pole wangejikalia kimya tu..ils kitendo cha kubadili msimamo inaonesha kuendeshwa kwa mstukio na kutokuwa na maamuzi
 
Back
Top Bottom