Ajali za malori nyingi zinahusha gari za kichina

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo fanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea ya madereva au hizi gari za mchina Zina shida. Serikali wamefuatilia hili kujua Kwa nini gari za mchina zinaporomoka Sana
 
Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo Tanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea dereva au hizi gari za mchina Zina shida
 
Attachments

  • aa2.jpg
    aa2.jpg
    140 KB · Views: 12
  • Screenshot 2026-07-31 at 10-26-42 Instagram.png
    Screenshot 2026-07-31 at 10-26-42 Instagram.png
    608.7 KB · Views: 11
  • cc2.jpg
    cc2.jpg
    187.5 KB · Views: 12
Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo fanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea ya madereva au hizi gari za mchina Zina shida. Serikali wamefuatilia hili kujua Kwa nini gari za mchina zinaporomoka Sana
Mkuu una matatizo ya basic Mathematics.
Chukua sample space ya magari(malori) yote yanayotembea barabarani kwenda mikoani.
Sasa hivi ni zidi ya 60-70%
Sasa yakiharibika humo njiani yataharibika yepi zaidi ya kuwa ndani ya hiyo zample space ya magari ya Kichina?
Kwa wengine hatushangai, kwani ikifika siku magari yote malori barabarani yakiwa ya Kichina yatakayopata ajali ni hayao hayo ya Kichina!
 
Yutong toka china ambazo karibu 100% ni yanasafirisha abiria Tz nazo leta data zake basi!
 
M
Mkuu una matatizo ya basic Mathematics.
Chukua sample space ya magari(malori) yote yanayotembea barabarani kwenda mikoani.
Sasa hivi ni zidi ya 60-70%
Sasa yakiharibika humo njiani yataharibika yepi zaidi ya kuwa ndani ya hiyo zample space ya magari ya Kichina?
Kwa wengine hatushangai, kwani ikifika siku magari yote malori barabarani yakiwa ya Kichina yatakayopata ajali ni hayao hayo ya Kichina!
Mzee mfano HOWO kufeli Break umeifuatilia
 
Magari ya kichina bado yapo uimarikaji kiubora na huku afrika ndio uwanja wao wa majaribio ili wafanye maboresho......

Kwa kifupi China ameifanya Afrika kuwa ndio maabara ya bidhaa zake ili zifikie viwango vya kwenda kuuzwa kwa watu wanaothamini usalama na uhai wao
 
Ulichosema ni sawa na mtu kusema, “Wanaofariki wengi Tanzania ni Watanzania.”

Mabasi na malori mengi yanayoingia nchini kwa sasa yanatoka China, so ni kawaida kuona magari hayo yakihusika katika ajali nyingi. Kadiri idadi ya magari yanayotoka China inavyoongezeka barabarani, ndivyo uwezekano wa magari hayo kuonekana katika ajali unavyoongezeka. The relationship is directly proportional.
 
Mtawasingizia wachina bure!

Ukisikia lori kufeli brake 90% ni matumizi ya Neutral gear kwenye miteremko kwa lengo la kuokoa mafuta.

Ufanisi wa breki ukiwa neutral kwenye malori huwa mdogo!
 
Umemaliza. Ila kina Scania na Benz na ndugu zao huo upuuzi nadhani huwa zinakataa. Ila Howo ni twende tu.
 
Mkuu una matatizo ya basic Mathematics.
Chukua sample space ya magari(malori) yote yanayotembea barabarani kwenda mikoani.
Sasa hivi ni zidi ya 60-70%
Sasa yakiharibika humo njiani yataharibika yepi zaidi ya kuwa ndani ya hiyo zample space ya magari ya Kichina?
Kwa wengine hatushangai, kwani ikifika siku magari yote malori barabarani yakiwa ya Kichina yatakayopata ajali ni hayao hayo ya Kichina!
Umemaliza Scientifically.
 
Back
Top Bottom