Nini kinasababisha bahati? au chanzo cha bahati ni nini mkuu?Ni bahati tu.
Wale wengine haikuwa bahati Yao kuponea ajali.
Bahati ni nini? na chanzo chake ni nini? japokuwa sababu ulizotaja nakuunga mkono!Mimi nafikiri kupona katika ajali ni bahati tu. Inategemea ulipokaa, ukubwa wa ajali, jinsi ajali ilivyotokea na huduma ya kwanza na matibabu baada ya ajali.
View attachment 3689064
Hao wengine waliokufa ina maana shetani alishinda vita ??View attachment 3689100
vita hua ni kali sana
Mimi nafikiri kupona katika ajali ni bahati tu. Inategemea ulipokaa, ukubwa wa ajali, jinsi ajali ilivyotokea na huduma ya kwanza na matibabu baada ya ajali.
View attachment 3689064
Hata kuzaliwa kwako ni bahati tu, baba yako alimwaga mbegu milioni 3, Moja ndio ikabahatika kurutubisha yaiKama siku haijafika unaweza sema chochote.
Mwaka 2023 au 2024 mwanzoni kuna mwamba na chuma kipya Subaru Forester namba E za mwanzo kabisa alinusurika kupigwa na semi la nguzo za umeme maeneo ya Puni/Buyubi lililo kati ya Tinde na Isaka. Alikuwa anaelekea uelekeo wa Kahama na huenda alikuwa na familia au mshikaji wake ndani. Angepata nafasi hapa akaelezea alivyochomoka na jinsi nivyoshuhudia mwenyewe nikiwa kwa pembeni, binafsi ningesema mwamba alikuwa na bahati sana.
Ubavu wa kulia wa gari ulilamba chini kwenye mtaro wa lami kimo cha takribani mita 5, chuma kikainuka kikapanda juu ya lami na kutumbukia mtaro wa pili kushoto, gari ikarudishwa juu tena ikashika lami akanyoosha goti huyo kuelekea uelekeo wa Kahama.
maelezo hubadilika kwenye swali hiloHao wengine waliokufa ina maana shetani alishinda vita ??
SahihiHata kuzaliwa kwako ni bahati tu, baba yako alimwaga mbegu milioni 3, Moja ndio ikabahatika kurutubisha yai
Mama yako angemwambia mzee wako hajisikii siku hiyo kamwe usingezaliwa, na hiyo pia Ina apply kwa watoto wako, ungechelewesha kumwaga tu kwa sekunde chache sperm iliyobahatika isingepata hiyo nafasi, vivyo hivyo kwa babu zako nao baba yako nae alizaliwa kibahati tu