Niliwaona malaika WAWILI walinichukua mikononi mwao pindi nilipopatwa na ajali ya barabarani inayohusisha chombo Cha moto,ilikuwa ni ajali mbaya sana na hata wote walioishihudia hiyo ajali basi walitegemea ima ningeumia vibaya sana ima nisingepona..
Kama siyo kwa msaada wa Mungu nisingepona.
NI KWELI KILA MMOJA ANA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA YA KUFA ALIYOANDIKIWA NA MUNGU.
Na hili nikiwasikia malaika WAWILI wakiongea pindi nilipopatwa na kushambuliwa na panya road walionikata panga la kichwa damu ikatoka sana ,nikawasikia wakiongea Mmoja alishika kitabu akawa anatafuta jina langu kwenye kitabu AKASEMA huyu muda wake WA kuja huku bado,huyu muda wake bado.
Nikaelewa vitu viwili kuwa kila mwanadamu ana malaika zake WAWILI wanaomlinda na nikaelewa kuwa kila Mmoja ana muda wake WA kuishi DUNIANI aliopangiwa na Mungu.
Pia nikaelewa vipo vifo vinaweza kusababishwa na shetani Yani UKIFA kabla ya muda WAKO kwa mkono WA SHETANI..wanakuchukua MSUKULE ki uhalisia unakuwa hujafa ila unafichwa humuhumu DUNIANI ukitumikishwa kwa shughuli mbalimbali za kichawi..mpaka muda WAKO uliopangiwa na Mungu WA kufa ukifika unakufa KWELI sasa.
MTU alichululiwa MSUKULE nyie mnaenda kuzima mgomba au MNYAMA au mti ,lakini anakuwa hajafa...na MSUKULE anaweza KURUDI..HATA WANAOFUFUKAGA au wanaorudigi wenyewe baada ya kufa ni MSUKULE mara nyingi MTU akifa kweli KWELI kwa mpango WA Mungu huyo HAWEZI KURUDI Tena DUNIANI,anakuwa anamtumikia adhabu yake kuzimu au anakuwa peponi,MTU akifa kweli hapumziki kaburini,mwili wake TU ndio unabaki unaoza ila yeye Roho yake na NAFSI yake vinakuwa ama motoni au PEPONI dakika hiyo hiyo hata kabla hamjamaliza kuzika.