Nimeota Kiongozi au mtoto wa kiongozi Fulani kupata ajali ya ndege

Nimeota Kiongozi au mtoto wa kiongozi Fulani kupata ajali ya ndege

IMG-20261004-WA0135.jpg
 
Hii ndoto imekuwa ikinijia sana mara nyingi kuwa kiongozi au familia ya kiongozi fulani ikiwa imepata ajali.
Gentleman,
hiyo ni arlet kwako mwenyewe,

Kemea kwa nguvu sana pepo la ajali hilo ambalo linakuzengea wewe binafsi , familia yako au ukoo wako. Usipuuze wala kufanya mzaha kwenye hilo plz 🐒
 
Back
Top Bottom