figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Viongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila
Hakuna aliumia wala kufariki dunia
Hakuna aliumia wala kufariki dunia
