Viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo

Wanapenda sana Michango hawa CHADEMA. Yaani wao wanawaza upigaji tu muda wote . Hivi hapo Wataanza kuomba michango ya hilo gari . Na hapo lengo lao limenyooka sasa ni mwendo wa kuanza kubandika namba za kupokelea hela .

Halafu eti wanajiita makamanda . Njaa tu ndio zinawasumbua . CHADEMA hawana faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni

Kuna jamaa yangu nilimuambia awe anaingia Jf kama guest user. Baada ya siku chache akaniuliza kuhusu wewe kama una akili timamu au lah, nkamwambia jamaa analipwa kwa kujifanya hamnazo so mchukulie poa tu, zamani alikuwa anaweka na namba ya simu kabla hajapata ajira rasmi.
 
Asante Mungu kwa hiki kidogo
Screenshot_20260616-171056~2.png
 
Wanapenda sana Michango hawa CHADEMA. Yaani wao wanawaza upigaji tu muda wote . Hivi hapo Wataanza kuomba michango ya hilo gari . Na hapo lengo lao limenyooka sasa ni mwendo wa kuanza kubandika namba za kupokelea hela .

Halafu eti wanajiita makamanda . Njaa tu ndio zinawasumbua . CHADEMA hawana faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Nilikuona kwenye maandamano ya kulialia juu ya Mange.
 
Back
Top Bottom