Daud balali ( RIP)Familia imethibitisha kwamba Vichwa Vya Marehemu Chivayo na Mkewe havikupatikana eneo la ajali, je sio uthibitisho wa kuthibitisha kwamba Hawakuwemo kwenye hiyo Ajali.
Sasa mfanya DNA , yupo huru ktk kufanya kazi yake. Au ndio ndege wafananao huruka pamojaDNA ilifanyika na kuthibitisha mabaki ni yao.
Swali, mafuvu ya kichwa yanatowekaje eneo la ajali?
Inajirudia kivingineDaud balali ( RIP)
Tuendelee na enda . Huku tukienda kupiga magoti na kupigwa picha mbele ya mfiwa?. Utasikia Steve nyererere nae amfariji mama kizimkazi. Uchawa ni ugonjwa mbayaInajirudia kivingine
Watu washaviwahi na kuvipeleka kwa Waganga ili na wao wawe Mabilionea...DNA ilifanyika na kuthibitisha mabaki ni yao.
Swali, mafuvu ya kichwa yanatowekaje eneo la ajali?
Na yule kigogo alimfumua risasi ya kichwa dereva wa daladala. Ukiwa juu raha sana! Unakufa huku unakula kukuDaud balali ( RIP)
Alifia guest morlNa yule kigogo alimfumua risasi ya kichwa dereva wa daladala. Ukiwa juu raha sana! Unakufa huku unakula kuku
Umeanza kumuiga cocastic kutumia neno woi sio? Linda mgongo didyNapitatu
Tumalize na mauwaji ya shemejizetu kwanza leo huko mara tena woi
Ukiwa juu, hata ukikamatwa China na kuuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya tutawapa Wachina bandari ya Bagamoyo kwa mkataba wa hovyo ambao Magufuli hakuwahi kuuona popote duniani ili uachiwe na kukuepusha na hukumu ya kunyongwa mpaka ufe!Alifia guest morl
Yawezekana kuna Vibosile wamepigwa za uso ??!Familia imethibitisha kwamba Vichwa Vya Marehemu Chivayo na Mkewe havikupatikana eneo la ajali, je sio uthibitisho wa kuthibitisha kwamba Hawakuwemo kwenye hiyo Ajali.