kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Wewe inakuhusu nini kama walikuwemo ama hawakuwemo? Ukipata hio taarifa inakupa ugali wako na familia yako ???
Acha wafu wazikane....
Acha wafu wazikane....
Hivi hakuna namna kimama kikapotezwa kichwa huko huko?Familia imethibitisha kwamba Vichwa Vya Marehemu Chivayo na Mkewe havikupatikana eneo la ajali, je sio uthibitisho wa kuthibitisha kwamba Hawakuwemo kwenye hiyo Ajali.
Ulitegemea DNA itasema sio wao?DNA ilifanyika na kuthibitisha mabaki ni yao.
Swali, mafuvu ya kichwa yanatowekaje eneo la ajali?
Kama tuliweza kufuatilia DNA ya faru John tunaachaje ya big boss chivayo 😄 😄 😄Wewe inakuhusu nini kama walikuwemo ama hawakuwemo? Ukipata hio taarifa inakupa ugali wako na familia yako ???
Acha wafu wazikane....
Wanaomdai watakuwea wameshikilia vichwa hadi walipwe chao,waliyokuwa karibu zaidi na yeye waulizee wanayo majibu.Familia imethibitisha kwamba Vichwa Vya Marehemu Chivayo na Mkewe havikupatikana eneo la ajali, je sio uthibitisho wa kuthibitisha kwamba Hawakuwemo kwenye hiyo Ajali.
Atagongwa nyuma shauri lakeUmeanza kumuiga cocastic kutumia neno woi sio? Linda mgongo didy