Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Alhamdulilah nimetoka salama nimepata mikwaruzo kidogo kwenye mikono na mguu wa kushoto niliubamiza unauma kimtindo.

Dah niliona kabsa kifo hichi hapa ila maisha yamenipa another chance.

God did!!
 
Pole na Hongera mkuu.

Ajali ya nn?.
Ilikuwaje?.

Mm last two months , usiku mmoja..natoka kula kimea Madale, kuna bwege mmoja Bodaboda. Kanipakiza. Ila nikaona mbona kama anayumba. Aaagh nikachukulia poa.

Kafika kwenye tuta hivi kumbe hajaliona. Maana ni usiku saa 6 hivi. Kapanda tuta kushuka balance ikapotea tukaenda kushoto zaid mtaroni. Mbele kuna pikipiki ingine tukaivaa. Ile pikpik ikaingia mtaron. Sisi tukabaki lami.
Nikachubuga mkonon na gotini. Na jeans ikachanika magotini.

Wale majamaa wakaamka. Wakaja wanamuuliza imekuwaje akajibu kilevi levi 😂😂😂 wakampa makonzi pale . Alafu boda iliyoumia zaid ni yake. Na damu zinamtoka mdomoni.

Wakiwa wanampapasa papasa pale Mm nikajungunguta. Nikapanda boda ingine nikasepa. Sijui nn kiliendelea.
 
Pole na Hongera mkuu.

Ajali ya nn?.
Ilikuwaje?.

Mm last two months , usiku mmoja..natoka kula kimea Madale, kuna bwege mmoja Bodaboda. Kanipakiza. Ila nikaona mbona kama anayumba. Aaagh nikachukulia poa.

Kafika kwenye tuta hivi kumbe hajaliona. Maana ni usiku saa 6 hivi. Kapanda tuta kushuka balance ikapotea tukaenda kushoto zaid mtaroni. Mbele kuna pikipiki ingine tukaivaa. Ile pikpik ikaingia mtaron. Sisi tukabaki lami.
Nikachubuga mkonon na gotini. Na jeans ikachanika magotini.

Wale majamaa wakaamka. Wakaja wanamuuliza imekuwaje akajibu kilevi levi 😂😂😂 wakampa makonzi pale . Alafu boda iliyoumia zaid ni yake.

Wakiwa wanampapasa papasa Mm nikajungunguta. Nikapanda boda ingine nikasepa. Sijui nn kiliendelea.
Kuna sehemu nilikua naenda nikasema ngoja nipande tuk tuk aah kilichotokea ni fckng accident saa ningekuwa kwa friji napigwa barafu
 
Back
Top Bottom