Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Wiki zilizopita nililazwa aisee kitanda Cha karibu yangu aliletwa mdada kapata ajali ya bajaji nyonga sijui imefanyaje na kichwani,,,,alikata moto namuona aisee,nilihama wodi maana daah😄
Sasa kwanini ulihama wodi? Au ulifikiri kifo kinafuata mstari?
Kifo hakikimbiwi,ikifika imefika,

Ila pole sana,nitakuja kukutembelea,nikuletee nini?
 
Back
Top Bottom