Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Alhamdulilah nimetoka salama nimepata mikwaruzo kidogo kwenye mikono na mguu wa kushoto niliubamiza unauma kimtindo.

Dah niliona kabsa kifo hichi hapa ila maisha yamenipa another chance.

God did!!
Chupuchupu maana yake umekatika mikono na kuvunjika kiuno lakini uko hai.
Sasa mbio nyingi hadi JF badi unaita chupu chupi.
 
Pole sana Kijana aisee hizi ajali ni hatari sana nilishawahi pata ajali niliugua mwaka mzima na miezi minne. Yaani mkono wa kushoto ulikuwa kama umepooza. Mungu amekupa nafasi nyingine, maana maisha yetu haya ukiwa mlemavu tayari wewe ni nusu maiti.

IMG-20240528-WA0052.jpg

Mungu alivyo na shani zake niliumia mkono na kupata fracture kwenye fuvu la kichwa

Red black
 
Hongera kwa kuchungulia dirisha la Sir God.

Wahenga waliosema Golden chance never come twice hawaamini macho yao.
 
Back
Top Bottom