Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kumbe na wewe ulikua mdau mwenzetu wa vinywaji changamshiiAh wapii
Kumbe na wewe ulikua mdau mwenzetu wa vinywaji changamshiiAh wapii
Kasaliti chamaKumbe na wewe ulikua mdau mwenzetu wa vinywaji changamshii
Ah wapii
Pole sana mkuu.Alhamdulilah nimetoka salama nimepata mikwaruzo kidogo kwenye mikono na mguu wa kushoto niliubamiza unauma kimtindo.
Dah niliona kabsa kifo hichi hapa ila maisha yamenipa another chance.
God did!!
Bodaboda ni hatari sana kwa TAO labda USHAGOOO.Kuna sehemu nilikua naenda nikasema ngoja nipande tuk tuk aah kilichotokea ni fckng accident saa ningekuwa kwa friji napigwa barafu
Duuh Tuk Tuk(Tumezoea kuita Bajaj ingawa zipo Tuk Tuk za TVs na other brands) ,basi ilikuwa mzinga mkubwa mpaka kuchunika mkono na miguu means ulirushwa nje ya Bajaj.Tuk-tuk
🤣🤣🤣🤣🤣Marekani kuna bajaji? 😹😹
Mkiwa waongo msiwe wasahulifu, ona sasa hadi unaogopa kutoa maelezo vizuri..!! 😹😹
chatungi wa abroad ya Tanzania mwenzio huyu hapa..!! 😹
Ata Rudi uyuAmeondoa Kinga Acha Mikosi Imbonde Kidogo....
Nimeacha pombe jomba
Nina karibu 30 hrs free from alcohol
Ata Rudi uyu
Ni jambo la muda TUKasaliti chama
Huyu nani? 😹Hapana huo ni uongo leta ushahidi uwe na memory
Zipo NYC? 😹Usa river tuk tuk ( etuk ) zipo 🤣🤣View attachment 3693585
Lini nimesema nipo USA acha uongo
NY STREET HIO
Wee ngadu njoo hapa 😹😹huku hakuna wadudu warukao harufu chafu kama dsm😂