Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Hahaha gongoki miaka ya ya 2005 ndio palikua kijiwe changu cha kulamba ulabu , kulikua na mtoto mmoja wa kimbulu ana unywele unagusa chini , kanahudumia aiseee kila jmos lazima unikute nachuja nafaka pale darajani😅😅
Mkuu inatosha sasa acha hizo vitu ili umlee binti yetu, 21 years imeshapita fanya imetosha sasa.
 
Back
Top Bottom