Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
MWAMBIE UKIWA MUONGO JITAHIDI UWE NA KUMBUKUMBU🤸Yupo USA
MWAMBIE UKIWA MUONGO JITAHIDI UWE NA KUMBUKUMBU🤸Yupo USA
Aliniomba ushahidi nikamletea..!! 😹Ila umemshikia bango balaa.
Muda wa kula mbususu ukifika anaambiwa nimerudi bongo one time njoo hapa wavuvi tuonane..!! 😹😹Kumbe mtu akiwa diaspora ana uhakika wa kula mbususu humu? Mbona hatuambiani!
Mnapandaje mshikaji Boda?kuna dada nilikuwa nae yeye alitupwa njee akagonga kwenye chuma za bridge kaumia nyoga aise
Na angekufa tungesema ni Mpango wa MunguMkipona mnasema "alhamdulillah"
Baadae mnaanza kudai "Mungu hayupo"
Pole kwa ajali
Kwani yupo Tz?🤣Aliniomba ushahidi nikamletea..!! 😹
Kaka kuna zamu ya kwenda USA kumuona mgonjwa, zamu yako lini?
Source: trust me Bro!mtaalamu mmoja wa masuala ya ajali barabarani,pia aliwahi fanya kazi ya zima moto hapo awali nchini marekani aliwahi kusema,....
"nawashauri watumiaji wa magari wasisahau siku zote kufunga MIKANDA wawapo barabarani"
"waendesha baiskeli, waangalie breki zao siku zote kabla hawajaanza safari"
"watembea kwa miguu wajitambue kama watumiaji zaifu zaidi wa barabara, na hivyo waongeze umakini kujilinda"
LAKINI watumiaji wa pikipiki waache mara moja, kwani huo sio usafiri,....
😹😹😹 Mgonjwa namuonea huruma tatizo lake anakoishi kuna vishandu tutakabwa..!!Hebu kuwa na huruma na mgonjwa🤣
Kwahiyo ajali we unahisi yuko wapi?Kwani yupo Tz?🤣
Maana hajakanusha🤣,Kwahiyo ajali we unahisi yuko wapi?
Jf ukiichukia serious utapata msongo wa mawazo , jifunze, furahi , usiweke mambo kichwani, utajikuta unachanganyikiwa bila sababu tu😅😅Kuna mmoja alikuwa anasemaga anaishi Italy,Kuna siku nikamuuliza upo Italy Bado au Tz🚶♀️🤣🤣,,,aliniruka,akasema hajawahi kusema anaishi nje,,
😹😹😹 kama leo red black alivyokataaKuna mmoja alikuwa anasemaga anaishi Italy,Kuna siku nikamuuliza upo Italy Bado au Tz🚶♀️🤣🤣,,,aliniruka,akasema hajawahi kusema anaishi nje,,
PoleKwa ninavyomchukulia, na nilikuwa na uhitaji wa huko,nilihitaji msaada.
Ndiyo🤣🤣🤣😹😹😹 kama leo red black alivyokataa
Zamu yako lini kwa mgonjwa?Ndiyo🤣🤣🤣
Maisaka B.Pale gongoki karibu na mrara darajani nimekula sana supu ya utumbo na konyagi🤣
Nyungu😅, majengo uwanja wa kwaraah😅Maisaka B.
Ni muda sana, ila nakumbuka uwanja wa Kwaraa, Barbara ya Olympic, Dolphin, majengo za zamani & mpya, block X, Sido negamsi, ngarenaro maisaka kitintale.Nyungu😅, majengo uwanja wa kwaraah😅
Unayajua maduka ya tabasamu?Ni muda sana, ila nakumbuka uwanja wa Kwaraa, Barbara ya Olympic, Dolphin, majengo za zamani & mpya, block X, Sido negamsi, ngarenaro maisaka kitintale.
Guest maarafu ( 2008-2013) kishibe, Kisora, Kilomanjaro, Monjes, Baby, Corner View