Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Sidhani bwashee 😅
Sidhani bwashee 😅
Hiyo lini hiyo 😹😹Acha upotoshaji
Upo wapi sasa nije kukuona mgonjwa?Acha upotoshaji
Au sio? 😹mimi sihishi NY tho kuna time nilienda kumtembelea rafiki yangu
bia moja Baridiiiii.
😹😹😹 Yule aliyetupwa nje nani?Acha upotoshaji
wapi nilisema nilikua na wifi ako?
Mi nishaweka ushahidi wa uzi wako mwenyewe hayo mengine naona ni dawa walizokuchoma bado hazijatoka kichwani na ukichanganya na wenge la kurushwa kwenye boda bado hauko sawa..!!Nionyeshe sehemu nilipowahi kusema naishi marekani!
Okay, uache upotoshaji lakiniMi nishaweka ushahidi wa uzi wako mwenyewe hayo mengine naona ni dawa walizokuchoma bado hazijatoka kichwani na ukichanganya na wenge la kurushwa kwenye boda bado hauko sawa..!!
ShesRise_1 hakikisheni mgonjwa mnampa maji mengi na matunda, bila kusahau kumpa utulivu sio mnamuhoji maswali mengi..!! 😹
Kweli muuguzi upo vizuri..!! 😹Nipewe maua yangu🤣
Upotodhaji uko wapi? 😹Okay, uache upotoshaji lakini
Tofautisha kati ya mtu kusema first time na drop somewhere haimaanisha kwamba anaishi hapo.
Au kiswahili wewe ulijifunzia wapi...
Hapo ndo unaanza kuharibu tulishasahau..!! 😹😹Anaitwa Lia ni binti nilimeet nae kwa tuk-tuk alikua anaenda kutalii eneo nililokuwa naenda mim
Tena dereva bajaji ni hatari zaidi sababu wengi wanatokea kwenye boda, tabia zilezile anaingia nazo kwenye bajaji anasahau bodi lake kubwa kuliko boda,Siku hizi bajaj nao kama bodaboda tu wanaendesha kwa sifa na upumbavu mwingi sana.