min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Sijui😅😅Zipo NYC? 😹
Na zinagongana mpaka zinadumbukia mtaroni..!!
Sijui😅😅Zipo NYC? 😹
Na zinagongana mpaka zinadumbukia mtaroni..!!
Huku kuna Rickshaw zile wanaendesha kama baiskeli na mpaka magari ya farasi, lakini ni jambo la kiutalii zaidi si kwa usafiri.😹😹😹 Tena NYC
Halafu bajaji za huko zinadumbukia mtaroni zikipata ajali..!!
Kiranga bajaji huko shingapi kupanda?
Lini nimesema nipo USA acha uongo
😹😹😹 Wewe nakupiga faini elfu 50, mi ujue kitengo shauri yako..!!🥶 Mji umesimamia ukucha balaa
View attachment 3577002
😹😹😹 Nyie diaspora mwitu wa JF mnataka kula wadada wa watu kimasihara..!!Sijui😅😅
Hahaha nipo kibaigwa tu😅 sijawahi hata kuwa na wazo la kula mtu humu zaidi ya bia zangu tu😅😅😹😹😹 Nyie diaspora mwitu wa JF mnataka kula wadada wa watu kimasihara..!!
Huko mnapanda kama daladala? 😹Wanafikria tuk tuk zipo tu tz
Naomba niitie red black puliizzzzz 😹Nimeambiwa na wadau nikiwa nakunywa bia nisiongee sana😅😅😅
Kasema kaacha pombe😅 hangover zinajua kujiamulia mambo😅 ukute sasa hivi yupo kidimbwi anapata supu ya kongoro na mzinga wa cheupe pembeniNaomba niitie red black puliizzzzz 😹
Nimecheka mpaka machozi leo, nyie viumbe mnajua kunifurahisha humu ndani..!!
Pombe ndo zilikuwa zinampeleka USA na kumtua NYC 😹😹😹Kasema kaacha pombe😅 hangover zinajua kujiamulia mambo😅 ukute sasa hivi yupo kidimbwi anapata supu ya kongoro na mzinga wa cheupe pembeni
Hahaha ila mwanangu hana baya, sema tu atakua dunya kwa kuacha pombe kizembe😅Pombe ndo zilikuwa zinampeleka USA na kumtua NYC 😹😹😹
Pole sana mkuu.Alhamdulilah nimetoka salama nimepata mikwaruzo kidogo kwenye mikono na mguu wa kushoto niliubamiza unauma kimtindo.
Dah niliona kabsa kifo hichi hapa ila maisha yamenipa another chance.
God did!!
72 hours maximum.Nimeacha pombe jomba
Nina karibu 30 hrs free from alcohol