Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Kijana tulia utajitonesha mkono, ujue maumivu ya kudondoka na bodaboda sio mchezo mnaruka kama Jet li 😹
Usa river tuk tuk ( etuk ) zipo 🤣🤣
Screenshot_2026-10-19_135102.jpg
 
Alhamdulilah nimetoka salama nimepata mikwaruzo kidogo kwenye mikono na mguu wa kushoto niliubamiza unauma kimtindo.

Dah niliona kabsa kifo hichi hapa ila maisha yamenipa another chance.

God did!!
Kwahiyo kupigana ngumi za asubuhi na mkeo, kwa hushindwa kuacha hela ya mboga Jumatatu unakuja kutusimulia hapa!
 
Back
Top Bottom