kuna dada nilikuwa nae yeye alitupwa njee akagonga kwenye chuma za bridge kaumia nyoga aiseIla kitendo cha kuandika hilo neno Chuplichupli kinaonyesha kua upo vizuri coz kuwaza hilo neno tu ni lazima akili namwili viwe vimetulia.
Umeanza!Unajikinga usipate ukimwi,unapata ajali🙌
Pole sana mdogo wangu.
Tuk tuk maana yake ni PIKI PIKIBajaj nadra sana kupata maajali.
Imegongwa au imeingia mtaroni?.
Pole sana sanaaNipo fit bro,nimepata mushikel kidg tu mikwaruzo kidogo tu kwenye mikono na mguu wa kushoto niliubamiza unauma kimtindo
Ha haa haaa 🤣🤣Kuna sehemu nilikua naenda nikasema ngoja nipande tuk tuk aah kilichotokea ni fckng accident saa ningekuwa kwa friji napigwa barafu
oooh.Tuk tuk maana yake ni PIKI PIKI
Oh my God!Wiki zilizopita nililazwa aisee kitanda Cha karibu yangu aliletwa mdada kapata ajali ya bajaji nyonga sijui imefanyaje na kichwani,,,,alikata moto namuona aisee,nilihama wodi maana daah😥
Cc Khantwe unamuona huyu,kakoswakoswa na kihatarishi kandandia kihatarishi kingine.Pole na Hongera mkuu.
Ajali ya nn?.
Ilikuwaje?.
Mm last two months , usiku mmoja..natoka kula kimea Madale, kuna bwege mmoja Bodaboda. Kanipakiza. Ila nikaona mbona kama anayumba. Aaagh nikachukulia poa.
Kafika kwenye tuta hivi kumbe hajaliona. Maana ni usiku saa 6 hivi. Kapanda tuta kushuka balance ikapotea tukaenda kushoto zaid mtaroni. Mbele kuna pikipiki ingine tukaivaa. Ile pikpik ikaingia mtaron. Sisi tukabaki lami.
Nikachubuga mkonon na gotini. Na jeans ikachanika magotini.
Wale majamaa wakaamka. Wakaja wanamuuliza imekuwaje akajibu kilevi levi 😂😂😂 wakampa makonzi pale . Alafu boda iliyoumia zaid ni yake. Na damu zinamtoka mdomoni.
Wakiwa wanampapasa papasa pale Mm nikajungunguta. Nikapanda boda ingine nikasepa. Sijui nn kiliendelea.
Bajaj?Kuna sehemu nilikua naenda nikasema ngoja nipande tuk tuk aah kilichotokea ni fckng accident saa ningekuwa kwa friji napigwa barafu