Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Ig na fb ni sawa tik tok natumia jina la kibiashara zaidi, pale babati kama unaenda ile barabara ya Singida karibu na sheli unaifahamu hardware moja kubwa imeandikwa shirima hardware kwa Maandishi mekundu?
anhaaaa!!! Hiyo ya hardware ya Shirima siijui, mwaka ushaisha hapa tupige jumapili kama tisa kumi hivi kama Mungu atabless mwakani tapita maeneo hayo.
 
Hata usipate shida uzi wake huu 👇
Hii nilienda kumtembelea my friend marcel anaishi huko zingatia neno first time na drop NYC ofcourse nilikaa hapo 5 weeks nikaondoka.
 
Lamomy acha upotoshaji hapo ni wapi nimesema naishi NCY???
Screenshot_20261020-082921~2.jpg
 
Back
Top Bottom