Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

Hata Mimi nakumbuka kwenye Uzi mmoja alisema yuko Mambele labda amerudi likizo 😂
Hata usipate shida uzi wake huu 👇
 
Attachments

  • IMG_7050.jpeg
    IMG_7050.jpeg
    377.5 KB · Views: 2
Hata Mimi nakumbuka kwenye Uzi mmoja alisema yuko Mambele labda amerudi likizo 😂
Mliopo kazura mimba mkisikia mtu yupo nnje na Tanzania mnapata tumbo la kuhara mbona mambo ya kawaida sana hayo bwashee?😅

Au ndio madhara ya kuwa wa kwanza kushika hela kwenye ukoo mzima😅
 
Anhaaa! Nayakumbuka vizuri huu upande uliokua unatazamana na stendi walikua wanauza sana Mabegi na huu upande mwingine unaotazamana na barabara ndo wanauza nguo kwa wingi.
Dah ila babati kama moshi population ya pale ya wa nyumbani sio poa, nenda na ile barabara kama unaenda kondoa kuna sehemu inaitwa himiti na bongo ni moshi kabisa😅
 
Sasa pale kwenye nguo kuna maza mmoja sina hakika kama ni mrombo alikua anauza vitambaa vya shule yule maza hadi join instructions za shule wakiandika uniform walikua wanarecommend ufate pale.

Huko Himiti unakotaka tuende ntakutajia familia nyingi za Moshi ambazo zipo Haraaa.
 
Hahaha babati kuna ndugu zangu kibao😅, dareda yote nenda mpaka kule bachoo vuruga kateshi yote hiyo , rudi riroda kuna mzee mmoja ni family friend na yetu ana hospital yake pale😅

Ila babati pazuri sana , ukipata kiwanja karibu na ziwa unakula maisha
 
Kuna namna unanikimbia ila kila nikiunga dots nahis kama nakujua🤣umjua mzee Amini Malisa?
 
Hahaha hapana simjui, nimetoka babati rasmi 2004😅 labda nije tu kuchungulia na kusepa japo bado ni kama home 😅

Yeah nikijieleza sana utanijua😅😅
Instincts zangu & triangulation naona kama nakujua hivi mjomba🤣🤣anyways ngoja niendelee na survey ila we ndugu zako pale Paris ni Warombo.
 
Hahaha sijifichi sema tu jf imenitaka tu na mimi nijifiche bwashee 😅 kwenye account yangu ya tiktok mbona wengi humu wananifahamu sana tu
 
Back
Top Bottom