Ndugu wa abiria waliofariki katika ajali ya basi na lori iliyotokea mkoani Morogoro Oktoba 8, 2026, wailalamikia Serikali kwa kile wanachodai kuwa ni kuwatelekeza, wakisema wanakumbana na changamoto hospitalini wanapofuatilia taarifa za ndugu zao waliofariki.
“Sisi ni Watanzania, tuna haki...