Ndugu wa abiria waliofariki kwenye ajali ya basi na lori mkoani Morogoro Oktoba 8, wadai Serikali imewatelekeza

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ndugu wa abiria waliofariki katika ajali ya basi na lori iliyotokea mkoani Morogoro Oktoba 8, 2026, wailalamikia Serikali kwa kile wanachodai kuwa ni kuwatelekeza, wakisema wanakumbana na changamoto hospitalini wanapofuatilia taarifa za ndugu zao waliofariki.

“Sisi ni Watanzania, tuna haki. Tumewachagua wao kuwa wasimamizi wetu. Tumekuwa tukikumbwa na majanga haya ya barabarani, lakini tunahitaji kuona hatua zinazochukuliwa.”

“Kitu kinachotuuma zaidi ni kukosa majibu kuhusu ndugu zetu. Mimi nimefiwa na watoto wawili; mtoto mmoja alikuwa wa ndugu yangu na mwingine alikuwa wangu. Pia nimefiwa na ndugu yangu, kaka yangu anayeitwa Joel Haruni, ambaye naye alipata ajali.”

“Hata Mkuu wa Mkoa yuko hapa? Au kiongozi yeyote wa serikali, hata viongozi wakubwa wa Jeshi la Polisi? Hakuna aliyekuwepo hapa, lakini sisi tupo na tunaendelea kuhangaika. Tunafanya nini katika hali kama hii?”

Soma Pia: SIMANZI MOROGORO: Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

Watu wamepoteza ndugu zao, halafu wanapofika hospitalini wanakumbana na changamoto nyingine zinazowaongezea maumivu.”

“Sisi si madaktari, lakini ninyi ni wataalamu. Tunawaomba mtueleze majibu ya kitabibu ili tujue hali halisi ya ndugu zetu.”

“Kama majibu yatapatikana baada ya siku tatu, siku mbili au saa kadhaa, tunahitaji kufahamishwa ili tujue turudi lini na tutaendelea kukaa hapa kwa muda gani.”

“Ushirikiano kati yetu na uongozi wa idara hii si mzuri. Tunahitaji ushirikiano wa kweli na mawasiliano mazuri ili tuweze kupata majibu kuhusu ndugu zetu.”
 
Sio serikali tuu, watu wote wamewapuuza, nchi ipo busy na ushindi wa simba na jihan

H nchi jau kudadeki 🙌
 
Ivi ikulu kwa sasa haina msemaji ?
 
Ukiitegemea serikali ya ccm ije ikufariji kwenye shida basi labda Yesu Mudi wawe wamerudi
 
Mhh tatizo imefika kufa watu 32 sio story tena kwa Serikali aisee..
 
Hakuna serikali! Kuna familia ndizo zinasema wao ni serikali.
Bila JK kufa kabisaaaaa,tutapata shida sanaaaa
 
Ndugu wa abiria waliofariki katika ajali ya basi na lori iliyotokea mkoani Morogoro Oktoba 8, 2026, wailalamikia Serikali kwa kile wanachodai kuwa ni kuwatelekeza, wakisema wanakumbana na changamoto hospitalini wanapofuatilia taarifa za ndugu zao waliofariki.

“Sisi ni Watanzania, tuna haki. Tumewachagua wao kuwa wasimamizi wetu. Tumekuwa tukikumbwa na majanga haya ya barabarani, lakini tunahitaji kuona hatua zinazochukuliwa.”

“Kitu kinachotuuma zaidi ni kukosa majibu kuhusu ndugu zetu. Mimi nimefiwa na watoto wawili; mtoto mmoja alikuwa wa ndugu yangu na mwingine alikuwa wangu. Pia nimefiwa na ndugu yangu, kaka yangu anayeitwa Joel Haruni, ambaye naye alipata ajali.”

“Hata Mkuu wa Mkoa yuko hapa? Au kiongozi yeyote wa serikali, hata viongozi wakubwa wa Jeshi la Polisi? Hakuna aliyekuwepo hapa, lakini sisi tupo na tunaendelea kuhangaika. Tunafanya nini katika hali kama hii?”

Soma Pia: SIMANZI MOROGORO: Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

Watu wamepoteza ndugu zao, halafu wanapofika hospitalini wanakumbana na changamoto nyingine zinazowaongezea maumivu.”

“Sisi si madaktari, lakini ninyi ni wataalamu. Tunawaomba mtueleze majibu ya kitabibu ili tujue hali halisi ya ndugu zetu.”

“Kama majibu yatapatikana baada ya siku tatu, siku mbili au saa kadhaa, tunahitaji kufahamishwa ili tujue turudi lini na tutaendelea kukaa hapa kwa muda gani.”

“Ushirikiano kati yetu na uongozi wa idara hii si mzuri. Tunahitaji ushirikiano wa kweli na mawasiliano mazuri ili tuweze kupata majibu kuhusu ndugu zetu.”
Ok.

R.I.P waliotangulia mbele ya haki 🐒
 
Back
Top Bottom