ajali ya ndege kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Sita wafariki katika ajali ya Ndege ya Shirika la Misaada ya Matibabu Kenya

    Watu sita wamefariki baada ya ndege ndogo ya shirika la misaada ya matibabu kuanguka katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, kulingana na afisa wa eneo hilo. Charity Amref Flying Doctors wamesema kuwa ndege ya Cessna ilipaa kutoka uwanja wa ndege wa Wilson siku ya jana Alhamisi alasiri, Agosti 7...
  2. Heparin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za awali zinadai ndege hiyo ya Kijeshi ilikuwa imebeba watu 9, na imewaka moto baada ya kudondoka hivyo...
Back
Top Bottom