Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini.
Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
Naomba serikali ifanye jambo hapa.
Ajali huwa hazitokei bahati mbaya.
Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani.
REJEA ANDIKO HILI...
Mmoja wa maafande ambao ni marafiki wa madereva wa vyombo vya moto ikiwemo gari na Bodaboda ni Afande Adrian Rutaihwa Kamara. Kwa sasa yeye ni District Traffic Officer (DTO) wa wilaya ya Kipolisi Mabwepande.
Nimekuwa nikifuatilia kazi zake kwa kuwa nina uzoefu na maeneo yote aliyofanyia kazi...
Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu.
Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
Habari za jioni ndugu na marafiki,
Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani.
Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu.
Lakini kabla ya yote...
Kwa muda mrefu sana nimekua nikishuhudia ajali za barabarani na kutokua na juhudi zozote za kielimu kutoka kwa vyombo na taasisi husika kuweka mpango mkakati wa kuzipunguza
Nitakua nikiweka matukio ya ajali yanayitokea kila kukicha Tanzania kusudi tuweze kujua jinsi gani hizi ajali zinamaliza...
Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee; Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Sillo amesema Serikali iko hatua za mwishoni kuleta Muswada wa Sheria Bungeni ili ifanyiwe marekebisho kwa lengo la kukabiliana na ajali za Barabarani zinazosababishwa na...
Dereva wa gari kubwa ya kuchanganyia zege yenye namba za usajili T. 414 BPD ambaye jina lake halijafahamika kwa haraka, amefariki dunia, huku watu wengine watatu wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori hilo na gari ndogo lenye namba za usajili T. 531 ANP.
Ajali hiyo imetokea katika mtaa wa...
Tatizo la ajali za barabarani linazidi kuitafuna taifa la Tanzania na kuwaacha wananchi wakiwa kwenye misiba mizito ya wapendwa wao, pamoja na na simanzi zisizoisha, ni jambo hilo ndilo limenifanya nitakari kwa kina kuhusu ni nini haswa huwa kinawafanya waliokabidhiwa ofisi za umma kuwa na...
Salaam
Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili, anaopata mtu kutokana na changamoto za maisha.
Mtu akidrive, huku ana msongo ni rahisi sana kusababisha ajali coz akili inakua haipo active barabarani.
Tujiepushe kudrive, tukiwa na msongo mkali coz madhara yake ni mabaya kwa maisha yetu na wenzetu.
Ajali za mabasi zimekuwa ni moja ya kilio kikubwa sana kwa wananchi na serikali kwa ujumla, taarifa kuhusu ajali za barabara ambazo zimepata kuwa ni sehemu ya kupoteza ndugu, rafiki na jamii zetu bado inaendelea kudhoofisha jamii. Ajali ya Mbeya ni moja ya ajali ambayo imeniumiza sana kiasi...
Ohaaaaaa,
Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini,
Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri.
Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako.
Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
Mkoa wa Mbeya, kama mikoa mingine nchini, unakabiliwa na changamoto kubwa katika masuala ya uokoaji wa abiria wakati wa ajali.
Hali hii inadhihirisha upungufu wa vifaa vya uokoaji, ambavyo ni muhimu sana ili kuokoa maisha ya watu wanaopatwa na majanga kwenye barabara.
Picha unayoizungumzia...
Katika mkoa wa Mbeya, kumekuwa na ongezeko la vifo vinavyotokana na ajali za barabarani. Hali hii imekuwa ya kusikitisha na inahitaji hatua za haraka ili kuokoa maisha ya wananchi.
Katika ripoti hii, tunachambua sababu za ajali, athari zake, na mapendekezo ya jinsi ya kuboresha usalama...
Ajali za barabarani ni tatizo linaloendelea kukua nchini Tanzania na linaathiri jamii kwa namna nyingi. Kila siku, tunasikia habari za ajali mbaya zinazosababisha vifo na majeruhi, hususan kwa watu wasio na hatia.
Hali hii inasikitisha sana, na swali linalojitokeza ni: Kwanini jeshi la polisi...
Serikali itumie teknolojia mpya ambazo zinaweza kusaidia kupunguza ajali za barabarani:
1. Kamera za Ufuatiliaji:
Kamera za kisasa zinaweza kuwekwa kwenye barabara na magari ili kurekodi matukio na kusaidia katika kutambua wahusika wa ajali.
2. Sistimu za Kusaidia Kuendesha (ADAS):
Teknolojia...
Watu wanne wamefariki dunia wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwemo Coaster na gari la mizigo aina ya Scania.
Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo August 31,2024 katika eneo la Gajal Babati Mkoani Manyara ambapo Coaster ilikuwa imebeba Wanafunzi...
Serikali inaendelea na ujenzi wa miundombinu bora ya barabara na madaraja ya kisasa ili kupunguza ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikikatisha uhai wa wananchi wengi.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, Agosti 29, 2024 wakati akifunga Maadhimisho ya Wiki ya Nenda...
Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo.
Chanzo: East Africa...
Nimshukuru Mungu kwa kulinda leo 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Leo hii saa 4 usiku nipo siti ya mwisho kabisa kwenye daladala ya kutokaea Kongowe kwenda Mbagala Rangi 3 kwenye kilima kile baada ya mto kufika Rangi 3 Ghafla naona abiria wenzangu wanakimbilia mlangoni, wengine wanatokea madirishani wengine wanaruka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.