Hakuna shaka ubovu wa vyombo vya usafiri una mchango mkubwa katika ajali zinazotokea nchini ikiwemo iliyochukua uhai wa watoto wa shule hapo majuzi.
Nashauri wizara husika ipeleke mswaada bungeni ili itungwe sheria ya ukaguzi wa magari , kama usivyoweza kuendesha gari bila bima , basi kuwe...
Asilimia 70 ya wagonjwa wanaofikishwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wanatokana na ajali za barabarani, huku ajali zinazohusisha bodaboda zikiongoza kwa idadi.
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt Respicious Boniface ametoa takwimu hizo Jijini Dodoma amesema wengi wao wanakfikishwa...
Yaani Waziri Masauni umeshakiri Mwenyewe kuwa Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani kwa Makusudi wameondoa 'Spidi Gavana' katika Mabasi ya hali inayopelekea Madereva Wao kwenda Mwendo Kasi na Kusababisha Maafa (Ajali) zinazoua Watanzania na kuwapa Ulemavu wa kudumu halafu Wewe unawapa 'Ultimatum' ya...
Leo ni Machi 30, 2022, imesalia siku moja tu kabla ya mwezi huu kufikia tamati, kwa ufupi unaweza kusema huu ni mwezi wa ajali, hiyo ni kutokana na matukio mengi kutoka mikoa tofauti.
Matukio mengi ya ajali yametokea na kusababisha vifo, ulemavu na wengine kujeruhiwa hasa yakihusisha magari na...
Ukiachana na kuendelea kuwalaumu madereva, bado barabara zetu ni changamoto kubwa kwa usalama wa watumizi wa barabara hizo, barabara nyingi ni ni nyembamba (unforgiving roads )zisizo kuwa na mbadala ambazo zinashindwa kupunguza idadi ya vifo na majeruhi pale ambapo dereva atafanya makosa.
-...
Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo mwendokasi, kutovaa mikanda na kupita gari lingine bila tahadhari.
Amesema, "Uendeshaji wa Vyombo...
Kila sekunde 24 mtu mmoja anakufa kwenye ajali ya barabarani! Ndivyo ulivyoanza ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika maadhimisho ya leo ya siku ya kukumbuka waliopoteza maisha au kujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani.
Katibu Mkuu anasema katika kuadhimisha...
Labda itakua vigumu kueleweka lakini nimeonelea ni bora nikatoa ushauri kwa manispaa na halmashauri zetu kuwaondoa mama lishe, Wamachinga na vibanda vya kuuza kadi na kusajili simu vilivyoko mabarabarani. Sababu kuu ni kuwa utakuta wanauza chakula, matunda n.k kwenye vumbi na zinaponyesha mvua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.