Wakuu,
Rafiki yangu hivi karibuni alipata kazi nzuri mkoani Njombe, yenye mshahara wa zaidi ya Shilingi Milioni 1 kwa mwezi. Aliripoti kazini Julai mwaka huu, lakini hivi karibuni ameamua kuacha kazi na kurudi Dar es Salaam.
Amesema sababu kubwa ni baridi kali iliyomfanya kuumwa mara kwa mara...